Wakati Wabongo tunateseka na kuhangaika namna ya kutatua tatizo la uhaba wa nishati ya umeme wenzetu Qatar wamegundua utaalamu wa kutengeneza mawingu ya bandia ambayo yatafunika viwanja wakati wa mechi za fainali ya kombe la dunia 2022. Kwa habari zaidi bofya kwenye link hapa chini: