World cup live cast mtandaoni

World cup live cast mtandaoni

Asnate sana mkuu mie hapa naangali ustaarabu mida mida nachoropoka home I can't wait to miss the first match
 
nimefaidi kinyama

ubarikiwe sana mkuu
 
Heshima zenu wakuu.....
Naomba tujumuike hapa tujadili game mbalimbali za WC badala ya kufungua THREAD MPYA kila game...
Leo tuanze na s.korea vs greece, argentina vs nigeria, england vs usa
asanteni.
 
game kati ya s.korea vs greece nitaishangilia s.korea coz kuna my favourite player PARK JI SUNG........
 
yupo ji sung park ktk kikosi kinachoanza leo,labda itokee dharura muda huu ninaoandika hii post.
 
duh hawa korea wanaanza kwa kasi ya ajabu 1-0...........
 
Back
Top Bottom