World Cup Mkongwe Dr Leaky Abdallah TBC1

World Cup Mkongwe Dr Leaky Abdallah TBC1

Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
5,778
Reaction score
4,859
Hongera TBC 1 mubashara kwa kuamua kumualika mkongwe undisputable mchambuzi nambari one mwanzilishi kideoni daktari wa uchambuzi ama dakta Leaky Abdallah aka football pundit bongo nzima hata kabla ya insta na net.

Sio wale wachambuzi wa mchango wa kusubiri ESPN, bbc sports, goal.com wamesema na kuandika nini halafu kesho yake mchana wanacopy paste

wazee wa zamani wanaojua kabumbumbu wamenielewa.
 
Enzi hizo kwemye uchambuzi yupo yeye, kipyenga kakamata colina, halafu dimbani yupo zidane, de lima hivi.. Del piero, Dennis Bergkamp, r. Baggio hatari saana, hakuwa mchambuzi mzuri saana ila kwenye historia ya soka yuko njema sio ya kugoogle. Na alikuwa anaburudisha half time hunyenyuki keenda nje.

Sio hawa wachambua mchele wanajiita wachambuzi wa mpira.
 
Kwanza namna ongea yake tu DR LEARKY
unaenjoy uchambuzi
Wachambuzi wengi wameiga ongea yake
 
Mzee anajua na huwa nafurahia kumtazama akichambua mpira. Halafu inaonekana ametembea sana huko ughaibuni sababu hadi sehemu hizo anajua vizuri.
 
Duuh kitambo sana kwa mara ya kwanza kumfahamu huyu mwamba ilikua mwaka 1998 world cup kumuona akifanya uchambuzi via ITV Tanzania
 
Duuh kitambo sana kwa mara ya kwanza kumfahamu huyu mwamba ilikua mwaka 1998 world cup kumuona akifanya uchambuzi via ITV Tanzania
Pembeni yupo Haji Manara! Manara huyu huyu wa Utopoloni. Yaani huyu ajiitaye BUGATI! Naye alikuwa anachambua, kuwazidi mbali sana hawa wa sasa!
 
Back
Top Bottom