Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Kwanza namna ongea yake tu DR LEARKYEnzi hizo kwemye uchambuzi yupo yeye, kipyenga kakamata colina, halafu dimbani yupo zidane, de lima hivi.. Del piero, Dennis Bergkamp, r. Baggio hatari saana, hakuwa mchambuzi mzuri saana ila kwenye historia ya soka yuko njema sio ya kugoogle. Na alikuwa anaburudisha half time hunyenyuki keenda nje.
Sio hawa wachambua mchele wanajiita wachambuzi wa mpira.
Maskini bwanaSitaangalia TBC mpaka kufa Kwanga inadumaza ubongo
Wenye akili za kata ndio haoMaskini bwana
Wasìoiangalia huwa hawajitangazi.si ajabu TV yenyewe hunaSitaangalia TBC mpaka kufa Kwanga inadumaza ubongo
Pembeni yupo Haji Manara! Manara huyu huyu wa Utopoloni. Yaani huyu ajiitaye BUGATI! Naye alikuwa anachambua, kuwazidi mbali sana hawa wa sasa!Duuh kitambo sana kwa mara ya kwanza kumfahamu huyu mwamba ilikua mwaka 1998 world cup kumuona akifanya uchambuzi via ITV Tanzania
naunga mkono hoja 100%🤝🤝🤝🤝Kwanza namna ongea yake tu DR LEARKY
unaenjoy uchambuzi
Wachambuzi wengi wameiga ongea yake