Kundi rahisi hili tukikomaa tunaweza songa mbele
Moja kila kundi.Kundi rahisi hili tukikomaa tunaweza songa mbele
Ngapi zinafuzu? 1 au 2
Madagascar unawajua vizuri?Kundi rahisi hili tukikomaa tunaweza songa mbele
Ngapi zinafuzu? 1 au 2
Swali...Kisha kujifariji[emoji16][emoji16]Madagascar unawajua vizuri?
Ila tukitulia tunatoboa
Hapo, zinatakiwa timu kumi. Kila kundi timu moja.Kundi rahisi hili tukikomaa tunaweza songa mbele
Ngapi zinafuzu? 1 au 2
Madagascar unawajua vizuri?
Ila tukitulia tunatoboa
Siku zote mkuu kwenda world cup si rahisi ila Compare upangwe na Egpty au Senegal bora hao Madagscar ama CongoHapo, zinatakiwa timu kumi. Kila kundi timu moja.
Then wanadraw timu makundi matano home and away.
Zinapatikana timu tano zitakazoenda qatar.
Kwa hio sio kazi ndogo chief.
Duuu! Utaambiwa sio mzalendoMkia unatuhusu kundi hilo
Aise, sababu ya kuita mwenzako kenge ni ipi [emoji23]Ni sawa kabisa ukitulia utatobolewa, kenge wewe hiv unawajua Madagascar?
Leo akili umeokota wapi mtani?Mkia unatuhusu kundi hilo
Hapa wale mafundi wa Gambosh wahusishwe tunachukua nafasi ya Kwanza, kisha tutakayepangwa naye home/away nae tunampiga, sisi hao Qatar na Samagol wetu.Hapo, zinatakiwa timu kumi. Kila kundi timu moja.
Then wanadraw timu makundi matano home and away.
Zinapatikana timu tano zitakazoenda qatar.
Kwa hio sio kazi ndogo chief.
Akili ipo siku zote mtani. Unalijua sana hilo lakini ndiyo mambo ya watani tena.Leo akili umeokota wapi mtani?
Hili kundi tunapigwa tunachakaa aliyetubeba AFCON yuko na Kenya ππ hatuna bembea sasa