BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,790 Reaction score 288,165 Jun 25, 2010 #2 LOL! Uongo mwingine hauna kichwa wala miguu!...Mama angekuwa ni mfuatiliaji wa kandanda angemuumbua Mzee wa nyumba kwamba Misri hawamo kwenye WC mwaka huu hiyo unayoangalia wewe ni mechi ya mwaka gani?
LOL! Uongo mwingine hauna kichwa wala miguu!...Mama angekuwa ni mfuatiliaji wa kandanda angemuumbua Mzee wa nyumba kwamba Misri hawamo kwenye WC mwaka huu hiyo unayoangalia wewe ni mechi ya mwaka gani?