Pamoja na Ronaldinho kushuka kiwango lakini sijaona mtu mwenge kiwango kumzidi ,Nahisi huyu jamaa ana matatizo na Dunga .Kitu kingine ni kuwa Brazil kuna wachezaji wengi wakali lakini kocha ndio anachagua ,wachezaji kama Diego-Juventus,Ronaldinho-Milan,Pato-Milan,Grafite-Wolfsburg wanastahili kuwepo kwenye timu ya Brazil
Unaangaliaga lakini ligi ya Brasil wewe au unaongea tu? Nina uhakika kabisa kikosi cha kwanza cha Botafogo, Fluminense au Flamingo kinaweza kuiwakilisha Brasil na wakachukua ubingwa....hawa jamaa wamebarikiwa bana....wee acha tu
Mkuu mi 'naangaliaga' na nimemuona mrithi wake kabisa anaeweza kuziba pengo,ila sema nae bado hajaitwa.dogo mmoja anachezea Santos anaitwa Neymar!kiwango chake ni kikubwa hadi nashindwa kukiweka kwenye maandishi mzee!!dogo ni mkali na media ya brazil imeanza 'chokochoko'kwa dunga kwamba dogo aende sauzi.

Pamoja na kwamba Neymar ni mzuri Dinho bado anahitajika kwa WC...Uzoefu wake wahitajika mazee..Neymar hawezi kufanya kile atakachofanya Gaucho.......Ni kama vile Zizou pamoja na uzee wake uliona mambo aliyofanya WC 2006????....Jiulize ni kwa nini England walisikitika baada ya Beckham kuumia juzijuzi hapa....uzoefu unamatter sana sometimes....Dinho kiwango chake kiko juu sana sasa.........angalia mechi za Serie A utaona ni kwa nini wajumbe wanaomba Dinho aende Bondeni