World Lightweight championship; Oliveira Vs Chandler

World Lightweight championship; Oliveira Vs Chandler

Gamal Sankara

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2019
Posts
301
Reaction score
265
Inakuwaje wanangu?

I hope kila mmoja wenu yuko salama salmini.

Wikendi hii tumebarikiwa na bonge la event, ningependa sana kuyaskia maoni yenu kuhusu card hii.

Tripo9

75498855-1D19-4DC1-9803-C256332C8E27.jpeg
 
Wasema pole pole, huyo jamaa ni moto wa kuotea mbali. Shida ni he is coming from back to back losses sasa sijui huko mbeleni kutaendaje.
Unaambiwa anarusha vyote ngumi ,elbow ,teke vyote kwa pamoja ana combination hatari
 
Pambano la Ferguson na Dariush mie nampa Dariush ushindi.
Ferguson ni mpiganaji hatari sana. Yaani anapigana kama blender kinavyozunguka. Ni wazi Dariush atapasuka sana na atavuja damu ya kutosha.
Ferguson huwa anapigana kwa kushambulia kwa kasi sana na kutumia style zote za mapigano. Lakini staili yake inamfanya awe kwenye "risk" kwani huwa hajilindi ipasavyo ndio maana Gaethje alimpasua vibaya.
Dariush kwa upande wake ni mtulivu sana. Hushambulia kwa mahesabu makali sana. Anaweza kurusha ngumi 4 tu ndani ya dakika moja nzima ila zinakuwa zenye madhara hasa.
Kama Ferguson akijichanganya na Dariush akatumia utulivu wake wa siku zote basi Dariush anashinda kwa knock out raundi ya kwanza kabisa.
Umri wa Ferguson umeenda sasa ana mika 30 hvyo ni wazi hata kasi itakuwa imepungua. Japo ninkwa kiasi kidogo sana lakini kwenye ngumi kasi hata chembe tu ina maana sana.
Kama Ferguson atafanikiwa kumuangusha Dariush basi ataweza kushinda pambano kwa submission. Lakini tukumbuke kuwa Dariush ni mpiganaji mwenye uwezo mkubwa sana wa kujilinda akiwa chini.
Haya ni maoni yangu tu ila Ferguson anaweza kubebwa na uzoefu... Hasa wa kupoteza mapambano mawili mfululizo wakati Dariush ameshinda mapambano 6 mfululizo.
 
baada ya khabib kustaafu nani ndie mbabe wa ufc kwa sasa katika uzito wake?
 
Back
Top Bottom