Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zile story kua namba zilikua zinatolewa kimikoa zilikua za kweli mfano;
Kumbe zile habari zilikua za kweli?Tumerudi nyuma, naona hadi namba za mikoani
Ni kweli.Zile story kua namba zilikua zinatolewa kimikoa zilikua za kweli mfano;
MG-Morogoro
MSK-Moshi
DO-Dodoma
IR -Iringa?
TXZamani wafanyakazi wazungu waliokuja kufanya kazi TZ tulikuwa tunawaita TX labda sababu walikuwa wanatembelea magari yenye licence plate TX.