World’s 10 most spoken languages and some interesting facts...

huu ni uongo Brazil peke yake ina population ya watu milioni 200,ukiacha nchi nyengine zinazoongea lugha hizo nazo ni:
1.Angola
2.Cape verde
3.Guine-Bissau
4.Macau
5.Mozambique
6.Portugal
7.São Tome & Principe
Ina maana hizo nchi 7 ndio wako milioni 5?
Nalog off
 
Na mie natilia shaka hizo takwimu. Kichina hakipo popote pale, ilhali watu wanaoongea Kichina ni zaidi ya bilioni moja.
 
Hapo kwenye 28% others, 387mil people speak sukuma worldwide.
 
Na mie natilia shaka hizo takwimu. Kichina hakipo popote pale, ilhali watu wanaoongea Kichina ni zaidi ya bilioni moja.
Hata bendera ya China huijui. Mandarin ndio chinese.
 
Na mie natilia shaka hizo takwimu. Kichina hakipo popote pale, ilhali watu wanaoongea Kichina ni zaidi ya bilioni moja.
tuko pamoja kiongozi hawa watu sijui wanajiona wako peke yao wanaojua mambo.
Nalog off
 
Hahahaha, halafu eti hakuna French!
Au sio most spoken, ni just interesting facts???
 
May be!Keep note asilimia kubwa ya watu wanaoongea English duniani wanatoka China!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
May be!Keep note asilimia kubwa ya watu wanaoongea English duniani wanatoka China!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Kwa hiyo French kutokuwepo kwenye hiyo list unaona ni sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…