W Watika Member Joined Feb 9, 2014 Posts 19 Reaction score 18 Oct 16, 2022 #1 Muhas has ranked number one in East and central Africa, 5 in Africa and top 500 worldwide. Congratulation MUHAS Source World University Rankings
Muhas has ranked number one in East and central Africa, 5 in Africa and top 500 worldwide. Congratulation MUHAS Source World University Rankings
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Oct 16, 2022 #2 Hiyo ni baada ya Simba kushinda
Mbekenga JF-Expert Member Joined Jun 14, 2010 Posts 3,262 Reaction score 8,144 Oct 16, 2022 #3 Kati ya wanasheria 23 walioshinda Law School, 13 wametokea SAUTI. Hii ni baada ya Professor kusema kwamba ametolewa jalalani kumbe alishaona ubora wa chuo fulani maarufu.
Kati ya wanasheria 23 walioshinda Law School, 13 wametokea SAUTI. Hii ni baada ya Professor kusema kwamba ametolewa jalalani kumbe alishaona ubora wa chuo fulani maarufu.
Jorge WIP JF-Expert Member Joined Jul 12, 2018 Posts 3,567 Reaction score 5,323 Oct 16, 2022 #4 Sasa watu wenye watoto wanaosoma Law school SAUT je
AnyWayZ JF-Expert Member Joined May 30, 2022 Posts 4,880 Reaction score 8,424 Oct 17, 2022 #5 401 MUHAS WORLDWIDE. Naona Vingi ni US na UK hawa wametangulia kitambo asee.