World Vision Tanzania VS Tabia za ngono

Mwana Kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2011
Posts
652
Reaction score
562
Shirika hili ni la dini ila hizi habari nimezisikia nataka kupata uhakika kama kuna tabia ya wakubwa kuwa na mahusiano na wafanyakazi wa kike. Chanzo chetu kinasema eti ili mwanamama upate nafasi nzuri ni lazima baadhi ya wakuu wakupitie na kwamba wenye vyeo wamepata kwa stahili hiyo. Jamani mwenye habari zaidi za uhakika tafadhali atusaidie ili niiondoe au kuibakiza kwenye orodha ya NGO zilizoko kwenye blacklist.
 
Mbona mimi sikufanyiwa hivyo,wewe nani alikueleza mwambie akumalizie usiyachafue mashirika ya wenzenu pamoja na ndoa za watu kwani watu wengine wana wake zao au wachumba wanafanya kazi huko.
Alafu Wvision ipi ?makao makuu Arusha ,Dar ,Tanga au wote.
 
Ooops....... Nitarudi baadae..
 

Umegeuza jamii forum kijiwe cha kuchafua wenzako, kwenda huko na unafiki wako. tafutaa unga wa wanao kumbuka majungu si mtaji ndugu eeehh
 
Vp mkeo kapata kaajira huko nini? Kikubwa acha wivu
 

Hebu mwaga hiyo orodha kwanza hapo kwa red
 
Sasa kama watu wazima wamekubaliana unataka nini
hawajavunja sheria wala nini kwa hiyo naona sio ishu ya great thinker kuijadili
 
Hii ipo saana nilishawai fanya nao kazi kuanzia madereva wao mpaka mabosi. Ila hili swala lipo kila idara kwa sasa lazima mtoto wa kike uandike cv kwenye kitanda.
 
hyo kila swehemu ipo,so unashangaa nin
 
Inawezekana wabaya wengi wamejificha chini ya mwamvuli wa dini
 

Lisemwalo lipo!
Mtu hula kazini kwake!
Ndege wa rangi moja hukaa pamoja!

Itafakari misemo hiyo halafu itakusaidia kupata ukweli wa mambo.
 
Acha uzandiki nimefanya kwenye hilo shirika miaka mingi na sehenu tofauti sijalishuhudia hilo.Usilichafue shirika hilo bureee!!
 
Mwanamke kutembea na bosi wake ni tabia ya mtu . Sasa kama wewe binti pamoja na kuwa na sifa zote zinazohitajika kwenye kazi lazini wewe bado unajilengesha kwa bosi wako unategemea nini mwisho wa siku. Na tabia hii ipo sio tu sehemu za kazi bali hata maeneo kama kanisani. Tido Muhando akiwa BBC aliwahi kumhoji padri moja wa Kenya aitwae Shundu aliyeamua kuoa na kukiri kwamba ngono ni swala la kawaida maeneo hayo sembuse maofisini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…