Mbona mmegeuza hii thread kuwa ya dini,hii therad ni kwa ajili ya kuwasaidia watu kutafuta kazi/ajira ,tenda au nafasi za masomo kama huna la kuchangia ni bora uache
Azam si shirika la kidini na halijajitangaza hivyo kama yafanyavyo mashirika ya kidini lakini mwenendo wake ni wakidini. Wanaajiri watu wa dini nyingine kwa kukosa tu watu wenye uwezo ambao ni wadini kama yao; ni bora wangetangaza kuwa Azam ni Kampuni ya Kiislamu, ingekuwa heri.