Kwa utafiti mdogo niliona toka kwa reviews mtandaoni hii ni ponzi scheme na pia ni pyramid scheme.
Chance ya kupoteza pesa zako ni kubwa.
Japokuwa unaweza tengeneza pesa under some conditions.
Hili tuliache kwanza,
lakini hizi ni baadhi ya tovuti ambazo nimezipitia na kuona kuwa huu ni utapeli, na huyo rafiki anataka kukugeuza wewe kuwa fursa.
Way-Capital.com Review: World Way Capital Scam Alert! It's not legit, not genuine. Yes, Way-Capital.com which is also known as World Way Capital is a scam. Now, you may want to know why is a WorldWayCapital scam, what makes a Way-Capital scam and what is Way-Capital.com in real, right...
[
https://m.youtube.com/watch?v=Z-cbx...IwB3oECAcQAQ&usg=AOvVaw3EzkmoxlRUDrWLJxL87G17
Kama unavyoweza kuona pia benki kuu ya canada ilitoa tahadhari.
Shida ya ponzi za siku hizi zinakuja kwa picha ya kuwa chanzo chao cha mapato ni bitcoin trading, forex trading na stock trading.
Ukichimba zaidi na kufuatilia, unakuta pesa mnayoichanga nyie members wa hiyo pyramid ndio inatumika kuwalipa.
Baada ya muda mfupi malipo yanapotea na kujikuta pesa yako imekwenda na maji.
Lakini unaweza take advantage kama unavyojua wabongo wajinga bado ni wengi.
1. Kama scheme haijawa na watu wengi ichunguze kama kuna uwezekano wa wajinga kuvutwa.
2. Hakikisha unakuwa mtu wa mwanzo mwanzo kabisa.
Ukijilizisha na hayo weka mpunga mezani.
Lakini sikushauri kujiingiza kwenye hata ma-scheme tafuta shughuli halali za kufanya na achana na shortcut.