Hizo sentiments za kuwa exploited hata wafanyakazi wa Amazon ya Jeff Bezos, tajiri namba moja wa dunia, wanazo.
While Bezos celebrates becoming the richest man in the world, many of Amazon’s workers are struggling
medium.com
Majuzi hapa kulikuwa na habari kwamba baadhi madereva wa Amazon huwa wanalazimika kukojolea kwenye chupa kwa sababu hawapati hata muda kidogo wa kwenda kujisaidia! Cheki hapo anachosema Enrique Sanchez.
"They keep track of your movements — how many times you stop, how fast you drive," Enrique Sanchez, who worked as a driver for eight months in 2020, said. "Using the restroom in the van is the only option sometimes."
"It's a very aggressive company that has generated so much revenue, profits over the last years, decades — but it's all been at the expense of workers being mistreated," Sanchez added.
The company says workers don't pee in bottles. Interviews with delivery drivers and mountains of evidence indicate otherwise.
www.google.com
Naamini hata makampuni mengine makubwa wafanyakazi wana sentiments kama hizo.
Jambo linalonifanya nijiulize kama inawezekana kwa kampuni kuweza kuwa na mafanikio kama ya Amazon bila ya wafanyakazi wake kujisikia wanakuwa exploited.
Maybe same goes for Mo....
Kuna kuwa exploited halafu kuna ile to the bone, ya Mo ni zaidi nafikiri kwa jinsi nilivyokuwa naongea na yule mfanyakazi wake.
Nilikuwa namtania kwamba anafanya kazi kampuni ya bilionea, wee, wacha anijie juu na kunipa matatizo ya ndani kabisa, yani ni ujinga wanasema wa kiwango cha lami.
Cha kusikitisha ni kwamba Mo ame sign "the giving pledge", unaweza kuona picha yake
hapa, sasa sijui na yeye hela zake atampa Warren Buffet amsaidie kuzigawanya wakati wafanya kazi wake wa Morogoro wanatusumbua kwa kuwa na njaa na kuwa ombaomba?
Bora hata Bezos haja sign hiyo pledge anaweza kusema yeye falsafa yake ni ubaya ubaya tu kila mtu ahangaike kivyake na hiyo minimum wage ya $15/hour Amazon kuna watu kibao itawafaa wanakimbia kutoka Walmart kwenda Amazon.
Kuna siku nilikuwa Walmart nanunua some kinda gadget, I usually don't like Walmart lakini kulikuwa na vi hard drive wana bei nzuri sana nikaenda kununua. Basi katika chitchat na yule attendant akawa kinda chatty, ikawa kama kuna delay. Mimi sikusema kitu lakini akaona kama nimekuwa annoyed ila sijalalamika, akaanza mwenyewe kujiwahi anasema watu wanaacha kazi sana Walmart wanaenda Amazon kufuata $15 an hour. Akasema hata yeye anafikiria kuacha.Halafu mtu mwenyewe mkubwa tu, si kwamba useme ni high schooler kazi yake ya kwanza.
Nikasema daamn, I need to be more socially aware.Huyu mtu anataka kukimbilia $15 an hour. Ina mana hapo analipwa significantly less than that mpaka kumfanya afikirie kuacha na kuifuata $15/hour.Nikajilaumu sana kwa kutokuwa socially aware kuchukulia hawa watu poa tu.
Basi pale pale nikasema saa nyingine huwa tuna catch attitude kucheleweshwa kidogo kwa kutojua kuwa hawa watu hata hawalipwi vizuri hivyo.
Nilivyosikia $15 an hour ina shepu hivyo kwa wale wafanyakazi hapo hapo hasira zangu za kucheleweshwa zote zikayeyuka ikabidi nianze kuwa napiga mahesabu huyu mtu ana familia, anaendesha gari, ana bills kibao, anaishije kwa hiyo $15 an hour?
Nikasema they probably work three jobs and claim unreal shit on tax returns and do all kinds of wizardry.
Inaonekana hawa ma bilionea wote kina Mo, Bezos, Walmart lao moja. Na ukimlaumu huyo Bezos anaweza kukwambia watu wanakimbia Walmart kuja kwangu!
Halafu utasikia mtu mjinga mjinga anakuja hapa anajisifia nchi yetu ina mamilionea wengi kuliko nchi yenu.
Bila kutuambia yeye binafsi ana milioni ngapi.
Ujinga mtupu.