Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 24
Wadau nadhani wakati umefika watu tuwe makini hasa watanzania tuwe na uelewa bwana kabwe mimi nafikiri ni maarufu tanzania sijui kama ni maarufu duniani.
Wadau nadhani wakati umefika watu tuwe makini hasa watanzania tuwe na uelewa bwana kabwe mimi nafikiri ni maarufu tanzania sijui kama ni maarufu duniani.
KAHINDA,
Unanishangaza,
Tanzania iko nje ya Dunia?
Uelewa wako ndo huo mkuu?
hata tanzania si maarufu....Wadau nadhani wakati umefika watu tuwe makini hasa watanzania tuwe na uelewa bwana kabwe mimi nafikiri ni maarufu tanzania sijui kama ni maarufu duniani.
Tafadhali tukumbushane watu maarufu duniani.
Yeyote unayemuona kuwa ni maarufu au alikuwa maarufu kwa mtazamo wako , tupatie picha yake.
Kama ukipenda, taja umaarufu wake.
Point hapa ni kuwa unaweza kuwa maarufu Tanzania (kama Twanga Pepeta, Makwaia wa Kuhenga na Pinda) lakini usiwe maarufu worldwide.
Inabidi tuutafsiri umaarufu huu unatakika kwa kiasi gani, kiasi cha mtu kuonyeshwa picha na kumtambua muhusika instantly?
Watu walio truly maarufu dunia nzima ni wachache sana, I would say kina Obama,Jordan, Michael Jackson, Mike Tyson, Muhammad Ali, Mandela, Malcolm X, JFK na watu wa Caliber hiyo.
KAHINDA,
Unanishangaza,
Tanzania iko nje ya Dunia?
Uelewa wako ndo huo mkuu?