wOrM, naomba tafsiri ya: M+4nz4n|4

wOrM, naomba tafsiri ya: M+4nz4n|4

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2007
Posts
6,402
Reaction score
1,273
wOrM, naomba unipe tafsiri ya jina lako jipya la M+4nz4n|4 na jinsi ya kulitamka. Ahasnte 🙂
 
Huyu jamaa anatuchanganya sana kwani hizo herufi ni za lugha gani?mi nilihisi alimaanisha mtanzania lakini mmh zipo kisanii kweli bora steveD umeuliza.manaake mwenyewe nilishaconfuse.asante mtanzania kwa kutujibu.
 
Subiri Mtanzania aje kudai jina lake limeibwa na mjanja... mimi simo.. 😛
 
Subiri Mtanzania aje kudai jina lake limeibwa na mjanja... mimi simo..

M+4nz4n|4 = MtAnzAnIA
Mtanzania = Mtanzania
MtAnzAnIA = Mtanzania ??
 
Back
Top Bottom