Wosia bila kusainiwa na mke. Je, utakuwa halali au batili?

Wosia bila kusainiwa na mke. Je, utakuwa halali au batili?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Je, mke wangu akiwa hai nikaandika wosia bila yeye kuweka saini kwenye wosia, wosia huo utakuwa halali au batili?

Naomba case law inayoelezea scenario hiyo.
 
Je, Mke wangu akiwa hai nikaandika wosia bila yeye kuweka saini kwenye wosia, Je wosia huo utakuwa halali au batili? Naomba case law inayoelezea scenario hiyo.
Wosia unatakiwa usainiwe na mtoa wosia akiwa na akili zake timamu,mbele ya mwanasheria au mtu anaeaminika
Ukisaini na mkeo unakua sio wosia huo
 
Wosia unatakiwa usainiwe na mtoa wosia akiwa na akili zake timamu,mbele ya mwanasheria au mtu anaeaminika
Ukisaini na mkeo unakua sio wosia huo
Vp kama izo Mali unazo taka zitolea wosia mmechuma wote na mkeo, kisheria imekaaje.
 
Back
Top Bottom