Wasalaam waungwana!nawasalimu katika Upendo na Amani.
Ndugu zangu Mwl.Nyerere alitufundisha na kutuusia juu ya mstakabali wa taifa letu tukiwa kama nchi changa na maskini kuwa ilituendelee tunahitaji vitu vinne.
-Aridhi
-Watu
-Siasa safi na
-Uongozi bora.
Je katika vitu hivi vinne,tumefanikiwa kuvitumia ili kujiletea maendeleo kama vilivyoainishwa?
Karibu tujadili.Matusi no-no-no.