Wosia wa Babu kwa wapwa wa MMU

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
68,223
Reaction score
96,083
Salamu kwenu waungwana na heri ya mwaka mpya.

Jukwaa letu hili mara nyingi limekuwa likilalamikiwa kuwa linajadili mada ambazo hazikupaswa kujadiliwa na great thinkers (tafsiri ya nani ni great thinker bado haijakaa kichwani kwa babu).

Nawashauri ndugu zangu wa MMU kuwa tubadilike na tuache tabia ya kutoa na kujadili mada zisizo na tija kwa taifa letu kama zile za kufurahishwa na harufu za vikwapa, kummega mama mkwe, kupenda avatar za baadhi ya members, kutafuta infii nk nk nk.

Kwa kuanzia naanza mimi kwa kutoa hoja za ki-great thinkings

1. Hivi hatuoni kuwa ni verevere kusali kabla ya tendo la ndoa ili kujiepusha na mabaya kama kufa kwa presha wakati wa tendo, kutomridhisha mwenzako, kumuumiza mwenzako, kumwambukiza mwenzako maradhi au kumgea mimba zisizotarajiwa? (au kufumaniwa kwa wale mainfii)

2. Je haitupasi kumshukuru Mungu baada ya tendo kwa kuzuia hayo hapo juu kutokea?

3. Haifai kumwomba Mungu awaongezee uhai ili mkutane tena na muweze kufanya hayo mawili hapo juu?

Angalizo: Hii ni kwa wale wenye mahusiano ya kudumu.

Kwa wale wa mahusiano ya papo kwa papo hamuhusiki na hizo hoja hapo juu, ila je?

1. hamuoni baada ya kumaliza uchafu wenu mnapaswa kwa pamoja kutubu kwa Mungu kwa maudhi na dhambi mliyotoka kuitenda punde? (Baada ya kuoga, Mungu hapendi maarufu ya ngono). Mnasubiri mkatubu kanisani/msikitini, mkipata ajali kabla hamjafika huko na mkafariki dunia hamuoni mtaingia Jehanamu?

2. Baada ya namba moja hapo juu hamuoni kuwa yawapasa kumwomba Mungu ili ampitishe shetani mbali msirudie tena kuirudia hii dhambi mbaya?


Babu anawapendeni na anarudi zake kitandani.
:drum::drum::drum:
 
Mwaka mpya kwa babu naona umeanza vizuri....
Bahati mbaya nashindwa kugonga 'thanx' hapo!
Lakini asante kwa angalizo... And myself ntachukua hayo hapo kama ushauri
Na kuwashauri wale ambao naona wanafaa....
 
Mwaka mpya kwa babu naona umeanza vizuri....
Bahati mbaya nashindwa kugonga 'thanx' hapo!
Lakini asante kwa angalizo... And myself ntachukua hayo hapo kama ushauri
Na kuwashauri wale ambao naona wanafaa....

Japo umetuma kupitia mobile nimekutwanga senksi.

Ole wake atakayeenda ofu topiki, babu atancharaza bakora! Leo ni full mapoint!
 
Kazi imeanza! Ngoja nifanye tafakuri then will be back.
 
Hommie ni wewe? Au Acid kaiba pasiwedi yako?
 
Kazi imeanza! Ngoja nifanye tafakuri then will be back.

Wewe uko kundi gani? Wa kudumu au wa papo kwa papo?

Uwe unatubu na kutorudia tabia mbaya.
 
Sasa babu tunatubu kwa sababu ni kosa ama?

Kwa nyie wa papo kwa papo...Bikira Maria mama wa msaada hapendi kabisa. Chondechonde uwe unatubu hommie, nakuhitaji mbinguni.
 
babu huu mwaka utaokoa wengi ni wewe kweli usisahau kuendelea kusalia na wengine
 
babu huu mwaka utaokoa wengi ni wewe kweli usisahau kuendelea kusalia na wengine

Hahahaha! Mwaka mupya na mambo mapya....babu for wajukuuz!

Nahitaji kwenda nao mbinguni!
 
Unamaana watu waache sasa infii kwa vile ni mwaka mpya?

Hapa kuna sababu ingine ya kulijadili hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…