Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Umegundua viongozi wetu sikuhizi ni bunch of uncle toms?
I MEAN THAT INCLUDES THE SO CALLED BABA WA TAIFA...NDIO IVE SAID JKN
Kinda weird nilipokuwa nasoma high school mzee anipa Autobiography yake niisome eventually jamaa wakaanza kunipachija jina
I think i was kinda rebellious in my own way...na kuwa na urafiki na RAS T aka KAKA nako hakukusaidia sana kwani alikuwa na jitabu mooja neneee linaitwa FIRST MAN BLACK MAN!
anyway...si vibaya kupata hii:
I miss those days ambazo mtu ulikuwa unaingia JF kila one hour maana kulikuwa na so much intellectually stimulating discussions.
siku hizi ....ohh well you know the drill.
I miss those days ambazo mtu ulikuwa unaingia JF kila one hour maana kulikuwa na so much intellectually stimulating discussions.
siku hizi ....ohh well you know the drill.
Be part of the change you want to see in the world...work on returning those beautiful days where discussions where more of intellectual mindsKinda weird nilipokuwa nasoma high school mzee anipa Autobiography yake niisome eventually jamaa wakaanza kunipachija jina
I think i was kinda rebellious in my own way...na kuwa na urafiki na RAS T aka KAKA nako hakukusaidia sana kwani alikuwa na jitabu mooja neneee linaitwa FIRST MAN BLACK MAN!
anyway...si vibaya kupata hii:
I miss those days ambazo mtu ulikuwa unaingia JF kila one hour maana kulikuwa na so much intellectually stimulating discussions.
siku hizi ....ohh well you know the drill.
Tabia nyingine ya mihouse negroes kama GT - ni kujifanya kuwa inawajua house negroes wengine ambako wako kwenye field (kupeleka dawa ya pamba?).
GT,
Kuhusu Nyerere,
Kwenye issue ya TZ kupeleka silaha Eastern Congo, kuna watu wanaomba Nyerere afufuke ili asolve issues.
Mi nawaambia mnaomba Nyerere aje ku solve issues wakati Nyerere ndiye muanzilishi wa michezo yote, as far back as 1965 alikuwa anapeleka cargo eastern Congo, halafu leo mnashangaa vijana wanafanya foul mnaomba Nyerere afufuke.
Umegundua viongozi wetu sikuhizi ni bunch of uncle toms?
I MEAN THAT INCLUDES THE SO CALLED BABA WA TAIFA...NDIO IVE SAID JKN
Mkuu toa evidence. Unajua Che Guevara alipofika Upanga, Dar en route Congo miaka hiyo hata Nyerere hakujua? Alafu usilinganishe muktadha wa wakati ule wa Cold War na wa wakati huu. Wakati ule walikuwa wamemua Lumumba na Mabeberu walikuwa wameweka Vibaraka wao Congo. Na Tanzania ya Nyerere ilikuwa mstari wa mbele katika Ukombozi wa Bara la Afrika. Ndio maana Kabila alikuwa anavinjari tu Kigoma bila kubughudhiwa na Serikali ya Nyerere mpaka Che akamkatia tamaa laifisti huyo hivyo akajiendea zake Bolivia kuendeleza Revolution La Hasta Victoria Siempre!
Acha mambo ya ushabiki blazakaka,
Tanzania na Cuba? Che aingie bila Nyerere kujua? Umekisoma "Che Guevara: A Revolutionary Life " lakini?
Nimesoma diary za Che mwenyewe, ngoja nikutafutie dondoo...
Of course katika diary yake hataweza kumu implicate rafiki yake Nyerere, wee vipi?
Kesi ya nyani unampelekea ngedere?
Tafuta neutral na objective, peer reviewed works. Hiyo diary hata mimi ninayo ila sijataka kuitumia kama source kwa sababu mwamba ngoma huvutia kwake.Hiyo biography niliyoitoa ndiyo the most authoritative work on Che.