God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani mkuu, nimeshindwa kuelewa hili neno (NIMELIZWA) hasa kwenye umaliziaji wako wa sentence kwamba... MBAYA ZAIDI SINA JINSI YA KURUDISHA PESA ZANGU.Za leo
Siku ya leo imekua ngumu mno kwangu toka asubuhi sina amani.
Kwa kweli leo nimelizwa na mbaya zaidi sina jinsi ya kurudisha pesa yangu, waskieni wanawake tuu.
Kanitapeli pesa yangu na penzi sijapataAmekufanyaje?
Sh ngapi?Kanitapeli pesa yangu na penzi sijapata
[emoji15] , huyo dogo ndio wale wa maeneo yetu au umemtoa wap?Kanitapeli pesa yangu na penzi sijapata
nimeliwa tandale mkuu, manzi kasepa zake bukoba na namba za simu alizokua anatumia sio zake simu alikua kaazima kwa wenye nyuma[emoji15] , huyo dogo ndio wale wa maeneo yetu au umemtoa wap?
250,000Sh ngapi?
Ulimtumia nauli aunimeliwa tandale mkuu, manzi kasepa zake bukoba na namba za simu alizokua anatumia sio zake simu alikua kaazima kwa wenye nyuma
tupe yaliyojiri tangu mwanzo itakua rahisi kukushauri cha kufanyanimeliwa tandale mkuu, manzi kasepa zake bukoba na namba za simu alizokua anatumia sio zake simu alikua kaazima kwa wenye nyuma