Wote wale waliowahi kulizwa na wanawake tufarijiane hapa

Hawawasikiii, wanawaona na wanaishi nao tatizo wewe ulipata koroma wadhani nazi zote mbovu. Waulize wanaume wakuambe raha ya wanawake. Pole acha kulialia amka kaote jua kidogo basi
 
Za leo
Siku ya leo imekua ngumu mno kwangu toka asubuhi sina amani.
Kwa kweli leo nimelizwa na mbaya zaidi sina jinsi ya kurudisha pesa yangu, waskieni wanawake tuu.
Samahani mkuu, nimeshindwa kuelewa hili neno (NIMELIZWA) hasa kwenye umaliziaji wako wa sentence kwamba... MBAYA ZAIDI SINA JINSI YA KURUDISHA PESA ZANGU.
Sasa......
Hapo umetumia neno la KULIZWA kwa maana ya kulia machozi, ama kuibiwa?
 
you have been awarded a trophy
 
Ilikuwaje, umemjengea kakutosa, ukilala na mwanamke wewe mnaishi yeye anauza. Akipata kaupenyo tu huyo kaishia
 
Pole sana... pesa ukishaitoa siyo yako tena...
 
nimeliwa tandale mkuu, manzi kasepa zake bukoba na namba za simu alizokua anatumia sio zake simu alikua kaazima kwa wenye nyuma
tupe yaliyojiri tangu mwanzo itakua rahisi kukushauri cha kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…