Wanasemaga kuimba kupokezana na hii ni zamu yao.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Walininyanyasa sana jamani
simba ikipata hasara yeye mwenye asilimia 49 ataumia zaidi.Ipo siku yake tu,anakujazieni wachezaji wenye mishahara mikubwa kwanza ili akitoka mnyooke
Let's hope you are right!Msimu uliopita mechi za Simba zilikuwa zinaingiza kuanzia million 300+, hili jambo la Mo ni story tu tunawapikia mambo vyura mjisahau
Pole yako ukitoa ligi ya mbigwa Afrika mgawanyo wa gate collection kwa mechi zote msimu mzima ligi kuu Tanzania bara simba kapewa 451,860,000/= yanga 415,620,000/=Kuwalipa watalipwa tu japo itakuwa kwa tabu mimi kama mwanachama wa Simba sports uwezo wa kuwalipa wachezaji wote wale kama tutakuwa na matokeo mazuri viwanjani tunao.
Msimu uliopita mechi za Simba zilikuwa zinaingiza kuanzia million 300+, hili jambo la Mo ni story tu tunawapikia mambo vyura mjisahau
Kwahiyo hata simba walivyomfunga as vita, al ahly na js soura hakuandikaTunamkasirikia kwa kuandika kwa "kushabikia habari zenye mlengo mbaya tu za Simba Sport Club na ze nye kuikejeri klabu yetu pendwa" kwa nia ya kuifedhehesha kitaifa au kimataifa.
Ukimwona huyo mwandishi akiisema Simba basi katika kuikejeri kuiponda na kuikatisha tamaa.
Ukimwona anaandika kuihusu Simba basi kwa habari mbaya tu za kuukuza mgogoro fulani au tatizo flani kwa nia ya kuuchochea mgogoro huo.
Kamwe hatujamsikia akiipongeza Simba au kuitia moyo au kuisema kimafanikio flani.
Yeye "ni kama Shetani wa Simba Sports Club"
Endeleen kujifarijiNakazia hatuwataji majina mje muombe radhi. [emoji3][emoji3]
Bado utaendelea kunyanyasika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Walininyanyasa sana jamani
Imeandikwa kwa kalamu ya chuma kabisaMkuu Je haikuandikwa kwamba Mbumbumbu atabaki kuwa Mbumbumbu?!
Sawa mkuuBado utaendelea kunyanyasika
Wewe huelewagi ndio maana nakukosoaga kila pahala kuanzia kwenye matamthilia yako hadi kwenye uzi wq AFCON.Pole yako ukitoa ligi ya mbigwa Afrika mgawanyo wa gate collection kwa mechi zote msimu mzima ligi kuu Tanzania bara simba kapewa 451,860,000/= yanga 415,620,000/=
Sasa si ndo vizuri mwacheni atujaze wachezaji wenye mishahara mikubwa ili akiondoka tunyooke....sasa nyinyi washabiki wa gongowazi mbona mnafurahia mnataka aondoke sahivi...c mpige kimya. Or hampendi tuje tunyookeIpo siku yake tu,anakujazieni wachezaji wenye mishahara mikubwa kwanza ili akitoka mnyooke
MkuuMkuu acha kupoteza muda wako kuwashaul hawa wajukuu wa bi hindu
Kutwimela mboku kumala maswa
Mimi wala sina tatizo nawewe ila kama umesoma komenti yangu nimesa ukiondoa mapato ya club bigwa barani Afrika simba imekusanya milioni 450+. Pia mambo ya tamthilia achana nayo maana mm pengine ni mutu pekee naye fatilia mambo yote duniani kiasi Kwamba akuna sehemu yoyote unaweza nidanganya kuanzia siasa za ndani,nje, uchumi, michezo na burudani mpaka Utamaduni. Sehemu pekee utaniacha njia panda ni ulonzi full stop.Wewe huelewagi ndio maana nakukosoaga kila pahala kuanzia kwenye matamthilia yako hadi kwenye uzi wq AFCON.
Simba sports msimu uliopita kwenye mashindano yote imekusanya Billion 5.
Mechi karibu zote zilizohusisha Simba ukiachilia alizocheza uhuru na timu za daraja la kati ndizo hazikuwa na mashabiki wengi zingine zote ziliingiza million 300+ .
Note. Hizi fedha zilikuwa zikinufaisha sana timu za ugenini kutokana sheria mpya za TFF.
Sasa nitajie timu iliyoingiza hata 2 billion msimu uliopita
Naomba uweke pia imetumia kiasi gani usijekuta hela hizo zimeishatumika kugharamia timu pia.Mimi wala sina tatizo nawewe ila kama umesoma komenti yangu nimesa ukiondoa mapato ya club bigwa barani Afrika simba imekusanya milioni 450+. Pia mambo ya tamthilia achana nayo maana mm pengine ni mutu pekee naye fatilia mambo yote duniani kiasi Kwamba akuna sehemu yoyote unaweza nidanganya kuanzia siasa za ndani,nje, uchumi, michezo na burudani mpaka Utamaduni. Sehemu pekee utaniacha njia panda ni ulonzi full stop.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Manara sijui ataambia nini watu
Sipati picha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Amua moja atoke mo au mwenyekiti mliomchagua kwa 100%Kwa hiyo unataka tuombe msamaha kwa jambo ambalo halijatokea, ulifikilia kweli kabla ya kuandika