Wanawake na wanaume wote tu binadamu lakini tunatofautiana sana kifikra na kimtazamo hapo ndo tatizo linapoanza! Wanaume wako so phyisical na wanatumia akili zaidi while wanawake wako so emotional na wanatumia hisia zaidi. Wanaume hua wanaanza kufikiri kwanza then ndo wanahisi na wakati wanawake ni virceversa! Women &men hatuwezi kua sawa what is needed ni jinsi ya kuelewana na kuchukuliana madhaifu yetu bila ugomvi..
gfsonwin,nidai Amarula wakati wa lanchi!Hilo li positi hapo juu,kiboko.Laiti kama tungekua wakeli na tunaitaka amani tungeyajua hayo uliyosema.Mke anapokua kicheche taka usitake kuna mahali mume ameteleza,mume nae akiwa mgongaji ni hivyo hivyo!
Anachojaribu kukwambia ni kwamba makosa mengi tunayasababisha wenyewe,wewe na siyo partner wako.Ni kawaida kwa wanadamu kutafuta mtu wa kumlaumu mambo yanapoharibika(from Psychology point of view).kijana akishindwa maisha,anamlaumu mzazi wake hakumwandalia maisha.Hivyo hivyo kwenye mahusiano ,mtu anataka partner wake abadilike badala ya yeye kubadilika.Kumbuka ni virahisi kujibadilisha wewe kuliko kumbadilisha mwenzi wako.The solution to any problem is within yourself not within the other person.Ni mtazamo tuSidhani kama nimekuelewa hapa,hebu fafanua!
Anachojaribu kukwambia ni kwamba makosa mengi tunayasababisha wenyewe,wewe na siyo partner wako.Ni kawaida kwa wanadamu kutafuta mtu wa kumlaumu mambo yanapoharibika(from Psychology point of view).kijana akishindwa maisha,anamlaumu mzazi wake hakumwandalia maisha.Hivyo hivyo kwenye mahusiano ,mtu anataka partner wake abadilike badala ya yeye kubadilika.Kumbuka ni virahisi kujibadilisha wewe kuliko kumbadilisha mwenzi wako.The solution to any problem is within yourself not within the other person.Ni mtazamo tu
Hivi unadhani ni kwanini hatuelewani pamoja na kutambua hiyo tofauti?
kama unataka k bila commitment nenda kanunue za machangu!
Hizo zisizo na commitment zinauzwa mitaa ya Ohio, Lango la jiji na etc. Hapo hapo tukiziuza mnatuita machangu kweli nyinyi hamueleweki!
Wewe unatakiwa umfanyie nini?
hupigwa na nyama isiyo mfupa.
Halafu ina jicho moja tu!!