Wote wazalendo watatu katika picha Baba wa Taifa, Makisi Mbwana na Mwinjuma Mwinyikambi wamepewa kumbukumbu ya mtaa na barabara ila Mshume Kiyate

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
1566045653794.png

Picha: Kulia Mzee Mshume akimsindikiza Baba wa Taifa kupiga kura ya urais Ukumbi wa Arnautoglo akiwa na Max Mbwana na Mwinjuma Mwinyikambi 1962.

1566045696521.png

Mzee Mshume Kiyate anamvisha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kitambi kumfariji baada ya maasi ya wanajeshi 1964. (Picha kwa hisani ya Mzee Kissinger).

1566045755580.png

Bi. Titi Mohamed na Julius Nyerere wakihutubia mkutano wa hadhara Viwanja Vya Jangwani miaka ya mwanzo ya TANU.

Kulia wa kwanza Ali Msham Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere amekaa kwenye meza.

1566048295982.png

Hapo ni nyumbani kwa Ali Msham tawi la TANU Magomeni Mapipa Mtaa wa Jaribu siku alipomkaribisha kumpa fanicha kwa ajili ya ofisi ya President wa TANU New Street.

Huyu Ali Msham tawi la TANU alifungua nyumbani kwake 1954/55 na lile duka la mafuta ya taa la Mama Maria alipolihamisha Mtaa wa Livingstone na Mchikichi lilihamia nyumbani kwa Ali Msham Mtaa wa Jaribu lilipokuwa tawi la TANU. Hii nyumba ipo hadi leo. Nimejaribu sana kuwatafadhalisha wana CCM wapelekee mapendekezo Ali Msham apewe mtaa huu kwa mchango wake lakini hakuna lililofanyika.
 
Ningesangaa wala si kushangaa asingekuwa na jina la kiislam
 
Back
Top Bottom