hii kitu ni too theoritical yan ukienda practically ndio hao kila siku wana malalamiko.Obby (usinichape) kuna watu hua wanasema ni vizuri wanaoona wakatofautina. Yani badala ya mlevi kuoa/olewa na mlevi mwenzake atafute mtulivu, mpenda klabu atafute mtulivu n.k . Ila ukweli ni kwamba wakiwa wanatofautiana kama usiku na mchana , nyeupe na nyeusi ni ngumu sana kupata balance kwasababu mmoja anakua anapenda sana kitu wakati mwenzake anakichukia sana. Matokeo yake mtulivu anaona hatendewi haki na mwenda klabu anaona hivyo hivyo akiombwa asiende. Mimi ningependa watu wawe wanahakikisha kwamba hawatofautiani kupitiliza ili mara moja moja wakutane katikati. Mpenda club alione tabu kuwepo nyumbani weekend, ana asiyependa sana asione tabu kuongozana na mwenzake mara moja moja.
Na the perfect perfect beer buddy hawezi kua perfect husband the at the same time. Hivi hakuna haja ya kubadili hizo criteria za wife material na perfect husband kwa kweli? How can we be perfect spouses if we are not perfect lovers before marriage? Kwa nini marriage isiwe continuity ya mahusiano ya girlfriend-boyfriend?
Baki kama ulivyo, akikuchagua hivyo hivyo poa kama hajataka his loss
Hivyo basi, Mwali mpwa wangu, be yourself. Kama unapenda kwenda club, na any other social activities za girlfriends, zifanye. Kama pia wapenda kuact kama 'wife material' then be...ILA tu usipretend kwa sababu hii ndo number one killer ya mahusiano yoyote yale. Ukiishi kama wewe, utampata ambaye atapenda maisha yako yalivyo, na wewe utayapenda.
Mmeisha ambiwa na mungu msiwe na uhusiano nje ya ndoa.....haya mambo ya gf/bf ni mambo yalio letwa na wendawazimu....yani mimi nikisikia mwanume au mwanamke anasema na gf/bf najua ni kichaa tu.
Mara nyingi sana hao walio anza utaratibu wa kuwa na ma gf /bf ndo ndoa zao hazidumu, mana walisha enda nje ya nidhamu na ukisha toka nje ya nidhamu....vigumu kurudi kwenye line....itabidi waendelee tu kuwa na gf/bf hata kama wameoa au wameolewa :biggrin:
Kaizer ukitulia nakukubali sana.... perfect adviser, perfect mume,nperfect friend...lol
Lizzy mimi sjasema uende kama kipofu ukaowe/kuolewa hata mungu anasema owa/olewa sehemu ulio penda....Lizzy mwanaume mpaa afike kwenye hatua ya kukupenda ujuwe kisha tazama hatua zako kwa mbali sana na wewe hujui....wanaume wengi wanatafuta excuse ya kuwadanganya watoto wa kike tu eti wanavuta time mpaa akujue vizuri.We nawe unashangaza!!
Kwahiyo unataka watu wakutane na kuoana siku hiyo hiyo? Au we ukisikia Girlfriend/Boyfriend basi akili yako yote inakimbilia kwenye ngono?
If I am just perfect as myself, would you marry me?
Kama ni hivo sasa kwa nini wanawake wanadondokea wanaume wenye mambwembwe na wanaume wanadondokea wanawake watundu watungu katika uhusiano wa boyfriend girlfriend? Sio wote lakiniMwali, mara nyingi hutokea wanaume huoa mama zao...................................Kwa kawaida sisi tumeathiriwa na malezi tuliyopitia, kwamba tumeaminishwa nini katika swala zima la uhusiano na ndoa, vile ambavyo tumeona mama zetu wakiwafanyia baba zetu katika mahusiano yao ya ndoa na kiunyumba ndivyo tunavyoamini kuwa hivyo ndivyo mke wa ndoa anavyopaswa kufanya au kumfanyia mumewe. Kama mwanaume akijikuta amevutiwa na mwanamke na akatamani kumuoa, basi ukichunguza sana utakuta kuna vijitabia vinavyoshabihiana na mama yake. Haiyumkini hata wewe naamini inawezekana ushaona familia ambazo baba ni mlevi na mama ni mlevi, ni aghalabu sana kukuta watoto nao hawajaingia katika mkumbo huo wa ulevi. Na ndio maana wakati wa kuoa wanaume hawavutiwi na sifa za nje, hizo zinakuwa hazina nafasi katika ubongo wao wa kina, kinachotafutwa hapo ni zile sifa za mama zao au walezi wao wa kike tangu utotoni.
Hata kwa wanawake mara nyingi huvutiwa na wanaume wenye vitabia vyenye kushabihiana na baba zao au walezi wao wa kiume tangu utotoni katika swala zima la ndoa na mahusiano, hutokea kuamini kwamba hivyo ndivyo mume anavyopaswa kumfanyia mkewe. Kama baba alikuwa mfujaji na mpigaji, mara nyingi watoto wa kike nao wataangukia kwa wanaume wenye tabia hizo na kwa wanaume nao hivyo hivyo huwa wapigaji na wafujaji katika ndoa zao, wakipata wanawake ambao hakuwahi kushuhudia mama zao wakipigwa na baba zao ni dhahiri ndoa hiyo au uhusiano huo hautodumu, labda tu mhusika akubaliane na hali hiyo.
Baelezee sissy... na ndio maana mi nimeleta hili swali hapa. Ni kama you can read my mind yaani.Mwali swali zuri sana, kuna watu wapo kwenye mahusiano ya ugf na ubf lakini anajua kabisa huyu sitomuoa au sitoelewa nae na sababu nyingi kama ulivyozisema. Tatizo hakuna kati yao anaejitahidi kushape behaviour ya mwenzie iendane na vigezo vyake na ndio maana malalamiko hayaishi, wanaume wanataka kuoa malaika. Hakuna malaika jamani ulimwengu huu na umri unakimbia.
Pamoja na kua umesema ukweli fulani mi sijaongelea wale wanao olewa sababu ya presha ya miaka kupita au kijicho cha jamii. Naongelea wale wanao ingia katika mahusiano huku wakijua kabisa huyu hapa ni sawa kwa kua boyfriend au girlfriend, ila nitakapo taka kuoa au kuolewa nitatafuta mngine...Wahenga walisema, sikio la kufa halisikii dawa. ktk mazingira ya kawaida, mtu huingia kwenye mahusiano hata kabla hajajiandaa kifikra, mtizamo, malengo na kukabili majukumu ya ndoa ili mradi tu apate mwenza kwa kuwa muda umshamtupa. inapotokea hivi akitokea mtu yeyote akamhakikishia ndoa basi hakina kupima kwa kina yeye anachowaza ni ndoa ili kujenga heshima. akimaliza wiki chache ataanza kuwakumbuka marafiki zake alioponda nao maisha. hata kwa mume na mke, wote wanakuwa wagumu kusahau mahusiano yao ya nyuma eti wanaita kukumbushiana. hii huja baada ya kubaini anayeishi naye sasa si yule aliyemhitaji bali amekuja kumuondoa mkosi wa kutokuolewa. hapa utagundua kuna wanaume na wanawake wameshakuwa na ndoa zaidi ya tatu kwani kuna dini zinaruhusu hili ili mradi mlengwa amekidhi masharti.
Nawasilisha!!
Mimi mmoja nimekasirika kwa hiyo lugha uliyotumia kwenye red.Afu badaye mnakuja sema wanaume washenzi....washenzi nyinyi wanawake manoa toka na mwanaume ambaye hakuhusu wala huna uhakika kama atakuwa mme wako siku za mbele.
Najua hapa kuna wanaume watakasirika kwa kuwa na wapa akili :biggrin:
Hapo bold tayari naskia moyo umetulia kidogo.... lol
Ila swali lang bado linahusika. Kufatana na somo unalo nipa najua nitakua perfect wife, ila nina wasi wasi naweza kua borring girlfriend... wewe mwenyewe kwa experience yako, huoni perfect husband alivo tofauti na yule anae enda kuangalia mprira bar, anakunywa bia na mishkaki huku akishangilia Man-U versus Gunners? sasa kama atakua na double life, moja ya nyumbani na moja ya huko nje, si ndio mwanzo ya kuniweka mimi kama pazia za ndani alafu huko nje atafute mwingine?
Nimesoma sana posts za MMU na nimegundua kitu: wanaume wengi wanaamini kuna wife material na girlfriend material. Wife material ni mpole, mtiifu, ana background nzuri, ni msomi kiasi, future oriented etc. Girlfriend material ana sura na umbo nzuri, ni mcheshi, anapenda kwenda out, ni mtundu kiasi.
Kweli kila mtu ana definition yake ila kwa ujumla kuna tofauti kati ya wife material na girlfriend material.
Pia nimeona wanawake wanaamini kuna wanaume wasio faa kwa long term relation ila bado wanafaa kua wapenzi. Wana penda maisha, wanatoa mazawadi mbali mbali, wanapiga sim na kutuma sms kila saa, wanakutambulisha kwa marafiki etc, alafu kuna wanaume wa long term relation: wanakusupport katika mipango yako ya maisha, wanajitambulisha kwa familia yako na wanakutambulisha katika familia zao, hawachelewi kuzungumzia swala la ndoa etc. Kwa wanawake distinction haipo clear sana lakini.
Toafuti hii kati ya boyfriends-girlfriends na husband-wives material naona inaweza kua sababu ya wanaume wengine kuoa wife material ila baadae wanaendelea kua na nyumba ndogo sababu wake zao sio girlfriend material toka mwanzo, na wenyewe bado wanataka kujipa raha huko nje. Wanawake nao wanaolewa kwa tama ya ndoa ila wakisha kua ndani wanagundua kua wanaume hawana ile romance ya boyfriends sababu wanachukua life too seriously, na hii inasababisha yale mapenzi ya moto moto kuisha mapema katika ndoa.
Swali langu kubwa linakuja hapa: kwa mtindo huu nikijaribu kua the perferct girlfriend nitajitoa kwenye orodha ya wife material. Na the perfect perfect beer buddy hawezi kua perfect husband the at the same time. Hivi hakuna haja ya kubadili hizo criteria za wife material na perfect husband kwa kweli? How can we be perfect spouses if we are not perfect lovers before marriage? Kwa nini marriage isiwe continuity ya mahusiano ya girlfriend-boyfriend?
If I am just perfect as myself, would you marry me?
Nashindwa kuamini kua such an descriptive analysis iliishia hapo... twambie how do we overcome this then? tunafanyaje to keep the flame alive?Time is a friend and an enemy as well..It comes a moment in most marriages the hubby-wifey r/ship turns into a sort of joint venture to conquer life and build a hypothetical better future for their children.This is wether they started their relationship from girlfriend-boyfriend level or not.
By the time they think of salvaging their marriage its too late.The husband is no more interested in playing hide and seek or going to picnics what he's found of is meeting deadlines at work,reading his columns in these oversized newspapers and making sure that he grasps everything that a BBC correspondent utters.
The wife has turned into this paranoid-bitter lady approaching her menopause who is highly concerned with making sure that the house is in order,she and her husband are in time for work,children are behaving,supplies are always in excess wether they are needed or not and those sort of things.As a result the husband almost seems to be in a non-existence state to her.
And things fall apart.In worst case scenario 'nyumba ndogo' gets introduced into the picture.By the time the kids have moved on with their own lives,the two remain with a marriage certificate while the actual marriage has been washed down the drain long ago.And the whole sense of a perfect spouce in an imperfect world becomes a dream that never matured.
Bitter reality!!!