Eng Kimox Kimokole
JF-Expert Member
- Jun 9, 2010
- 1,037
- 767
ndio nini hicho?
Duh Preta uko wapi wewe?
Hii inaitwa Operating System tofauti na Windows XP, Vista au Windows 7. Ni OSX mara inayokuwaga kwenye Computer zinazoitwa Macintosh.
Ni Operating System isiyovamiwa na VIRUS kama zilivyo Windows, pia inawaka kwa haraka sana ndani ya sekunde 15, inayoweza kukufanya ukafanya kazi kwenye Program zaidi ya moja bila kusumbua Processor. Hata kama Program flani imestack kwa mfano ingawa ni mara chache unaweza kuifunga hiyo Program iliyostack bila kuathiri Program nyingine zinazofanya kazi na kuifungua upya
Sijui kwa haya maelezo machache umenipata?
asante kwa kunifafanulia.....mimi niliyowahi kuisikia kuwa haishambuliwi na virus ni ubuntu......sasa hii yako ni mpya tena....so naweza kubadili window 7 yangu nikamweka huyu leopard?
Ubuntu ni ngumu kutumia kwa wengi na haina software nyingi kama ilivyo OSX (Leopard au Snow Leopard). Kwenye Leopard unaweka Program nyingi sana zinazotumika kila siku kama Mozilla FireFox, Word, Excel, Powerpoint (Office Application), Adobe Package, Quark, Statistics Progs, Web Progs nk.
Hivyo unaweza kabisa kutoa Win 7 ukaweka Leopard maadam kujua Specification za Computer yako baaasi
mweeee....haya ni mashikolo mageni kwangu.....nitasubiri inikute kama win 7 ilivyonikuta....si itakuja?
Ebwana nimekukubali na sasa nipe msaada wako. mi natumia MacBook version 10.5.8, Processor 2.4 GHz Intel Core 2 Duo. Memory 2GB natamani sana nitumie leopard au snow ila kununua mashine nyingine gharama maana hii nimenunua ghali kidogo nimetumia mwaka tuu. how do i get that kwa dezo?
Hiyo unayotumia 10.5.8 ni Leopard
Tuwasiliane nitakuwekea 10.6.4 Snow Leopard
inaumiza sana kichwa haki ya nani ila hatimaye kitu mwake!!
hongera sana mkuu hii kitu naijua
Hatimaye baada ya majaribio takribani 1000 nimefanikiwa kuingiza OSX 10.6 Snow Leopard kwenye Dell Optiplex 380 ikifanya kazi vyema kabisa.
:ranger: