Wow...! Lawrence Masha amenivutia

Wow...! Lawrence Masha amenivutia

MASIKIN JEURI

Senior Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
134
Reaction score
22
Wana jamvi, nimevutiwa na aliyekuwa mh.waziri wa mambo ya ndani ya nchi, bwana Lawrence Masha ktk kipindi cha mkasi kilichorushwa jana na EATV. Pamoja na mambo mengine bwana Lawrence Masha alisema ametembea nchi nyingi sana, na bila kumunyamunya maneno alisema watanzania ni "waongo sana" kuliko nchi yoyote, kitu ambacho nimekiamini. ktk maelezo yake pia aligusia appreciation ya wa tz kwa mtu anaeleta mchango ktk jamii ni mdogo, mfano yeye alikuwa akisomesha watu 290 kama sikosei kwa familia zisizojiweza,amesaidia kujenga shule ya mkolani ya jijini Mwanza kwa hela na mchango wa wafadhili alioutafuta yeye mwenyewe. LKN pia wapiga kula wake wengine hawana lugha nzuri hasa mtu anaporopoka kuwa sisi ndiyo tuliokuchagua kwa hiyo tunapokuita lazima uje, kwa ubinadamu wa kawaida kabisa, kwa lugha kama hizo hata kama ni mimi, wewe na mwingine lazima uudhike.

Hebu tumlinganishe na mhe.Wenje ktk mchango wake ktk jimbo, je ni yupi alieleta maendeleo zaidi? wote wazuri, lkn namshauri bwana Lawrence Masha aachane na CCM na kujiunga na CHADEMA au, abakie CCM lkn ajitofautishe na ufisadi na unyonyaji wa CCM, awe kama akina Magufuli, Mwakembe, Deo Philikumjombe, mh.mbunge wa Kisesa, na wengine wachache walio ccm ambao siyo wanafiki kwa raia wao, hakika atapata kula za watu wengi.

Nawasilisha.
 
Walicho fanya jimboni kwake ni kuchagua chama sio mtu, laiti ukiwashindanisha wawili hawa jibu nirahisi mno, Wenje hamuwezi Masha kiutendaji
 
Nilifikiri nimeona peke yangu.. R & L zinakuwaga na matatizo gan jaman mi nashindwaga kuwaelewa hawa watu!

yani we ndugu yangu umenikumbusha mpwa wangu alipokuwa anamrekebisha mwenzake kwa kukosea kutamka neno kuku,mwenzake badala ya kusema kuku akasema Tutu,akaonea amrekebishe,akamwambia usiseme "TUTU sema TUTU" .

sasa hiyo naifananisha na wewe,unasema huwa unashindwa kuwaelewa watu wanapochanganya matumizi ya R na L. Sasa mimi naomba nikuulize;katika kiswahili kuna neno linaitwa "NASHINDWAGA"?
 
Siwaelewi-siwaelewagi nashindwa-nashindwaga elevator-lift, cab-tax hizo zinamaana moja lakin matamshi na vihisishi vinatofauti matumizi ya "g" mwishoni yanakubalika kuonyesha msisitizo kwa mujibu wa maghee mtaalam wa kiswahili msikilize TBC kila jmosi ila ukiita kura - kula unapotosha maana... Kula ni kitendo kingine na kura ni kitu kingine
 
Masha kanena ukweli mchungu, hata Christopher Mtikila anasema Watanzania wamefikia hatua ili wakuunge mkono kwenye harakati za kuwakomboa huna budi kuwahonga ili wakuunge mkono! Bure bure hawataki hata kama wana uhakika kuwa wewe ni mtu makini!
 
Wana jamvi, nimevutiwa na aliyekuwa mh.waziri wa mambo ya ndani ya nchi, bwana Lawrence Masha ktk kipindi cha mkasi kilichorushwa jana na EATV. Pamoja na mambo mengine bwana Lawrence Masha alisema ametembea nchi nyingi sana, na bila kumunyamunya maneno alisema watanzania ni "waongo sana" kuliko nchi yoyote, kitu ambacho nimekiamini. ktk maelezo yake pia aligusia appreciation ya wa tz kwa mtu anaeleta mchango ktk jamii ni mdogo, mfano yeye alikuwa akisomesha watu 290 kama sikosei kwa familia zisizojiweza,amesaidia kujenga shule ya mkolani ya jijini Mwanza kwa hela na mchango wa wafadhili alioutafuta yeye mwenyewe. LKN pia wapiga kula wake wengine hawana lugha nzuri hasa mtu anaporopoka kuwa sisi ndiyo tuliokuchagua kwa hiyo tunapokuita lazima uje, kwa ubinadamu wa kawaida kabisa, kwa lugha kama hizo hata kama ni mimi, wewe na mwingine lazima uudhike.

Hebu tumlinganishe na mhe.Wenje ktk mchango wake ktk jimbo, je ni yupi alieleta maendeleo zaidi? wote wazuri, lkn namshauri bwana Lawrence Masha aachane na CCM na kujiunga na CHADEMA au, abakie CCM lkn ajitofautishe na ufisadi na unyonyaji wa CCM, awe kama akina Magufuli, Mwakembe, Deo Philikumjombe, mh.mbunge wa Kisesa, na wengine wachache walio ccm ambao siyo wanafiki kwa raia wao, hakika atapata kula za watu wengi.

Nawasilisha.

Nakubaliana na ushauri wako kwa Law Masha lakini kwa maoni yangu sio sahihi sana kuwaweka kwenye mizani moja na vigezo (parameters) vile vile Wenje na Law Masha kwa sababu moja au mbili kuu; Masha ni product ya political patronage na mfumo ule ule uliotufikisha hapa tulipo; sina uhakika kama wewe unapaona ni pazuri sana!! hata hao anaowaita wafadhili wa miradi aliyojinasibu nayo; tuna hakika gani kama sio Fedha ya umma iliyotokana na mradi tata wa vitambulisho vya uraia ambavyo mpaka wa leo havija-materialise ukiondoa uzinduzi tu?!

Wenje ni kama mpigania uhuru; hana nafasi na resources wala fursa alizokuwa nazo Law Masha kumuwezesha kufanya maendeleo msingi kama anayojinasibu nayo Law Masha; vyama vya upinzani havitambuliki na wala havikubaliki; bado mfumo uliopo umejaa watawala recycled wenye full hangover ya one party system!!

Self glorification na mbwembwe nyingi za Law Masha alipokuwa madarakani ni baadhi ya character flaws za Law Masha zilizokuwa zikiwakera wananchi na kuwafanya watumie haki yao kumkumbusha kwamba wao ndio waajiri wake and not vice versa!! behaving like a spoilt child or a yankee New yorker havikumsaidia hata kidogo na matokeo yake akabwagwa na mtoto mdogo akitokea chuo kikuu, a pure political novice or rookie kama wamarekani wanavosema! sasa hivi he is crying foul over spilt milk and embarking on a blame game which is unhelpful.
Hivi supporters wa Law Masha mmewahi kumuuliza kama aliwahi kukaa chini akafanya tathmini objective kabisa sababu za kuanguka kwake mpaka akapandisha jazba akaenda kustrip ofisi ya mbunge samani zote?!

Kwa hiyo kwa sasa kazi ya Wenje na wanamapinduzi wengine wa "nji hii" ni kujenga self awareness; wanachi kujitambua na kukataa udhalimu, unyonyaji, ukandamizwaji, rushwa na ufisadi wa raslimali zao ili kuelekea kupata mfumo mpya wa uongozi ambao ni people centered, a government of the people, by the people and for the people.

Tukifika hapo ndio tunaweza kuwauliza kina Wenje na wenzake; Wapi maendeleo mliyotuahaidi; nini tofauti yenu na watawala waliopita?!! and thus hold them to account.
 
Nakubaliana na ushauri wako kwa Law Masha lakini kwa maoni yangu sio sahihi sana kuwaweka kwenye mizani moja na vigezo (parameters) vile vile Wenje na Law Masha kwa sababu moja au mbili kuu; Masha alitokana na kuutumikia mfumo ulu ule uliotufikisha hapa tulipo; sina uhakika kama wewe uynapona ni pazuri sana!! hata hao anaowaita wafadhili wa miradi aliyojinasibu nayo; tuna hakika gani kama sio Fedha ya umma iliyotokana na mradi tata wa vitambulisho vya uraia ambavyo mpaka wa leo havija-materialise ukiondoa uzinduzi tu?!

Wenje ni kama mpigania uhuru; hana resources wala fursa alizokuwa nazo Law Masha kumuwezesha kufanya maendeleo msingi kama anayojinasibu nayo Law Masha; vyama vya upinzani havitambuliki na wala havikubaliki; bado mfumo uliopo umejaa watawala recycled wenye full hangover ya one party system!!

Self glorification na mbwembwe nyingi za Law Masha alipokuwa madarakani does not wash!! ni baadhi ya character flaws za Law Masha zilizokuwa zikiwakera wananchi na kuwafanya watumie haki yao kumkumbusha kwamba wao ndio waajiri wake and not vice versa. behaving like a spoilt child or a yankee New yorker havikumsaidia hata kidogo na matokeo yake akabwagwa na mtoto mdogo akitokea chuo kikuu, a pure political rookie,
Hivi supporters wa Law Masha mmewahi kumuuliza kama aliwahi kukaa chini akafanya tathmini objective kabisa sababu za kuanguka kwake mpaka akapandisha jazba akaenda kustrip ofisi ya mbunge samani zote?!

Kwa hiyo kwa sasa kazi ya Wenje na wanamapinduzi wengine wa "nji hii" ni kujenga self awareness; wanachi kujitambua na kukataa udhalimu, unyonyaji, ukandamizwaji, rushwa na ufisadi wa raslimali zao ili kuelekea kupata mfumo mpya wa uongozi ambao ni people centered, a government of the people, for the people and by the people;

Tukifika hapo ndio tunaweza kuwauliza kina Wenje na wenzake; Wapi maendeleo mliyotuahaidi; nini tofauti yenu na watawala waliopita?!! and thus hold them to account.

Nimekupata, ni kweli viongozi wetu wa opposition party lazima wa create awareness kwa jamii zetu kwa maslahi ya taifa hili. ndo maana mwishoni kabisa nilishauri mwana Masha arudi CHADEMA au abakie CCM lakini ajitofautishe sana na viongozi wa ccm hakika angepata kula nyingi.viongozi wa ccm ni kero ktk jamii na nchi yetu, ukiniambia nichague ccm ni kama naisaliti familia yangu, kitu kilichomponza bwana Lawrence Masha
 
nyie vp mbona na yy fisadi acheni kurukia mada km hamna uhakika na mnacho ongea
 
Nakubaliana na ushauri wako kwa Law Masha lakini kwa maoni yangu sio sahihi sana kuwaweka kwenye mizani moja na vigezo (parameters) vile vile Wenje na Law Masha kwa sababu moja au mbili kuu; Masha ni product ya political patronage na mfumo ule ule uliotufikisha hapa tulipo; sina uhakika kama wewe unapaona ni pazuri sana!! hata hao anaowaita wafadhili wa miradi aliyojinasibu nayo; tuna hakika gani kama sio Fedha ya umma iliyotokana na mradi tata wa vitambulisho vya uraia ambavyo mpaka wa leo havija-materialise ukiondoa uzinduzi tu?!

Wenje ni kama mpigania uhuru; hana nafasi na resources wala fursa alizokuwa nazo Law Masha kumuwezesha kufanya maendeleo msingi kama anayojinasibu nayo Law Masha; vyama vya upinzani havitambuliki na wala havikubaliki; bado mfumo uliopo umejaa watawala recycled wenye full hangover ya one party system!!

Self glorification na mbwembwe nyingi za Law Masha alipokuwa madarakani ni baadhi ya character flaws za Law Masha zilizokuwa zikiwakera wananchi na kuwafanya watumie haki yao kumkumbusha kwamba wao ndio waajiri wake and not vice versa!! behaving like a spoilt child or a yankee New yorker havikumsaidia hata kidogo na matokeo yake akabwagwa na mtoto mdogo akitokea chuo kikuu, a pure political novice or rookie kama wamarekani wanavosema! sasa hivi he is crying foul over spilt milk and embarking on a blame game which is unhelpful.
Hivi supporters wa Law Masha mmewahi kumuuliza kama aliwahi kukaa chini akafanya tathmini objective kabisa sababu za kuanguka kwake mpaka akapandisha jazba akaenda kustrip ofisi ya mbunge samani zote?!

Kwa hiyo kwa sasa kazi ya Wenje na wanamapinduzi wengine wa "nji hii" ni kujenga self awareness; wanachi kujitambua na kukataa udhalimu, unyonyaji, ukandamizwaji, rushwa na ufisadi wa raslimali zao ili kuelekea kupata mfumo mpya wa uongozi ambao ni people centered, a government of the people, by the people and for the people.

Tukifika hapo ndio tunaweza kuwauliza kina Wenje na wenzake; Wapi maendeleo mliyotuahaidi; nini tofauti yenu na watawala waliopita?!! and thus hold them to account.
Mtu anayemponda Masha upeo wake wa kuchambua masuala mbalimbali ni mdogo sana,Masha ni jembe tukiweka itikadi zetu pembeni,kati ya mawaziri wasomi wazuri na wenye uelewa wa haraka sana Masha alikuwa anaongoza,hebu angali wizara ya mambo ya ndani ,compare wakati wa Masha na sasa hivi,utaona hakuna kinachoendelea,hata vitambulisho vya taifa angekuwepo nadhani vingekuwa tayari,mambo mengi yako on hold tangu atoke wizara hiyo,pia Masha ana dharau ni muelewa na hana njaa,
 
hana jipya.ubishoo na kudhani ye ni mungu wa watanzania ulimponza.tupa kule kwenye shimo la taka.
 
Nakubaliana na ushauri wako kwa Law Masha lakini kwa maoni yangu sio sahihi sana kuwaweka kwenye mizani moja na vigezo (parameters) vile vile Wenje na Law Masha kwa sababu moja au mbili kuu; Masha ni product ya political patronage na mfumo ule ule uliotufikisha hapa tulipo; sina uhakika kama wewe unapaona ni pazuri sana!! hata hao anaowaita wafadhili wa miradi aliyojinasibu nayo; tuna hakika gani kama sio Fedha ya umma iliyotokana na mradi tata wa vitambulisho vya uraia ambavyo mpaka wa leo havija-materialise ukiondoa uzinduzi tu?!

Wenje ni kama mpigania uhuru; hana nafasi na resources wala fursa alizokuwa nazo Law Masha kumuwezesha kufanya maendeleo msingi kama anayojinasibu nayo Law Masha; vyama vya upinzani havitambuliki na wala havikubaliki; bado mfumo uliopo umejaa watawala recycled wenye full hangover ya one party system!!

Self glorification na mbwembwe nyingi za Law Masha alipokuwa madarakani ni baadhi ya character flaws za Law Masha zilizokuwa zikiwakera wananchi na kuwafanya watumie haki yao kumkumbusha kwamba wao ndio waajiri wake and not vice versa!! behaving like a spoilt child or a yankee New yorker havikumsaidia hata kidogo na matokeo yake akabwagwa na mtoto mdogo akitokea chuo kikuu, a pure political novice or rookie kama wamarekani wanavosema! sasa hivi he is crying foul over spilt milk and embarking on a blame game which is unhelpful.
Hivi supporters wa Law Masha mmewahi kumuuliza kama aliwahi kukaa chini akafanya tathmini objective kabisa sababu za kuanguka kwake mpaka akapandisha jazba akaenda kustrip ofisi ya mbunge samani zote?!

Kwa hiyo kwa sasa kazi ya Wenje na wanamapinduzi wengine wa "nji hii" ni kujenga self awareness; wanachi kujitambua na kukataa udhalimu, unyonyaji, ukandamizwaji, rushwa na ufisadi wa raslimali zao ili kuelekea kupata mfumo mpya wa uongozi ambao ni people centered, a government of the people, by the people and for the people.

Tukifika hapo ndio tunaweza kuwauliza kina Wenje na wenzake; Wapi maendeleo mliyotuahaidi; nini tofauti yenu na watawala waliopita?!! and thus hold them to account.

Nimeipenda.
 
Back
Top Bottom