Wow! Mary J. Blige Flaunts Bikini Body At 42!

Wow! Mary J. Blige Flaunts Bikini Body At 42!

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
1425739_119-maryj-inset-2_jpgdf9983a42c5fc0cade7a56d12b22bd12



Nimejifunza mazoezi na kupangilia vyakula vinasaidia mwili kuto nenepa hovyo,Mary j Blige atatokea kwenye jarida la shape mwezi ujao wa kumi na mbili,wale wapenzi wa magazine mtamuona
 
......Nimejifunza mazoezi na kupangilia vyakula......
Yap hii ndio siri ya urembo, cc: mwallu , Yale mazoezi umeisha anza?
 
Last edited by a moderator:
Safi Mj sio wasanii wa kibongo akihit na singlemoja tu tambi hilo mara shavu hilo yani aibu,,,nyie si mnaona mtoto kwenye game kitambo lakini mambo safi
 
Back
Top Bottom