Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Waqt uleee huku eve pale sijui mc lyte kati queen latifah huko mwanamama wa fugees palikuwa patamu
Kama Shishi baby..maana kwenye mgahawa wake yeye ndio muonjaji mkuu..shavu dodoSafi Mj sio wasanii wa kibongo akihit na singlemoja tu tambi hilo mara shavu hilo yani aibu,,,nyie si mnaona mtoto kwenye game kitambo lakini mambo safi