Wowowo ya nini? Napenda flat screen!

Ahaaa asante kwa uthibitisho huo[emoji23]
Unajua huwezi danganya mara zote, nakuapia......[emoji736]
Uthibitisho wa sisi kutuma? Juli hana picha yangu ya ajabu hata moja. Anapicha za sura yangu na nguo zangu kamili. Sikudanganyi yumo humu akiona atakwambia kama ana picha yangu ya ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…