Wowowo ya nini? Napenda flat screen!

Uthibitisho wa sisi kutuma? Juli hana picha yangu ya ajabu hata moja. Anapicha za sura yangu na nguo zangu kamili. Sikudanganyi yumo humu akiona atakwambia kama ana picha yangu ya ajabu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utani mpendwa naona ume......
 
Baba LA baba wowowo ndo kila kitu.... Mzeee unakuta ata papuchuuu umekaa kwa chiniiiii... Ukiipika Mbuzi kagoma utapenda mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…