Wakuu naomba msaada kidogo.
Kuna kazi nimeomba (hasa za
research na
translation), wameomba nitume
writing samples. Sasa hapa ndipo napata maswali:
π Hizi
writing samples ni nini hasa?
π Natakiwa kutuma nini?
Najiuliza:
- Je, natuma documents zote nilizowahi kuandika? (maana ni nyingi na zina MB kubwa)
- Au nachagua chache tu? Kama ni hivyo, ni zipi hasa zinatakiwa?
Kwa mfano:Nimewahi kushiriki kuandika:
- Reports za miradi
- Proposal
- Articles
- Tafsiri (Swahili β English)
π Je, natuma zote au nachagua zile bora tu?
Pia kuna hili linanichanganya:
Kama ulikuwa
co-contributor (umechangia kuandika report au proposal pamoja na timu),
π Unathibitishaje kuwa hiyo kazi ulihusika kweli?
π Wao wana-verify vipi?
Na mwisho:π Natuma kama
PDF, au napiga picha (screenshots) inatosha?
π Kuna format maalum wanayotegemea?
Naombeni uzoefu wenu wakuu, hasa waliowahi ku-apply kazi za research, NGO au translation π