Written interview results: Health laboratory technologist & technologist pharmacy

Written interview results: Health laboratory technologist & technologist pharmacy

sir nombo

Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
7
Reaction score
6
WRITTEN INTERVIEW RESULTS; HEALTH LABORATORY TECHNOLOGIST & TECHNOLOGIST PHARMACY
 
Attachments

Nilikuwepo nimepata Zero tunawaombea wote mliofaulu.. Mkatutibu vizuri mkopata kazi _ Tanzania inaongoza kuwa na magonjwa ya Ajabu
 
Kigezo cha nafasi 1 itagombaniwa na watu wa 3 kwenye oral interview ni cha kikatili sana. Unaweza kupiga 100 bado ukakosa nafasi😂
Sasa ulitaka wafanyeje na nafasi ni chache?
 
Kigezo cha nafasi 1 itagombaniwa na watu wa 3 kwenye oral interview ni cha kikatili sana. Unaweza kupiga 100 bado ukakosa nafasi😂
Hata shule, wote mkipiga 100 anaangaliwa mwenye mwandiko mzuri au aliyemaliza paper mapema. Tuwe tu wapole. PSRS wamewapiga wafamasia na kitu kizito
 
Back
Top Bottom