Jiggy El Jefe
Senior Member
- Aug 10, 2017
- 143
- 170
kama ulishawahi kufanya matriculation exams unapojiunga Chuo Kikuu basi hivo ndivo hiyo mitihani inavokuwaHabari za Muda wakuu,
Naomba Ushauri na kwa yeyote ambae ana uzoefu na inteview za utumishi kwani ndio mara ya kwanza na attend, kada ya commercial officer II (TRC). Walau nipate mwangaza wa interview zinavyokua.
AHSANTE
Nakazia hapaHuwa wana toa muda mchache sana jitahidi kuwa short and clear katika majibu yako ili atleast uweze kujibu maswali yote. Unaweza jikuta ume jibu maswali nusu kama utakua una andika sana.
And its better for those who will succeed to attend written interview to share questions under their departmentsnondo zinazotolewa hapa ni nzuri kweli..,hata ambao hatujaitwa trc zitatusaidia huko mbeleni .
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya interview pia, ntashare maswali humu. Ili kuwa mwangaza kwa wengine watakaofuata mbeleni.Wakuu, wale waliowahi kuanya interviews za Kilimo naomba watuwekee manyanga hapa.. Huwa wanapenda kuuliza maswali gani.. hasa level ya Diploma
We yako unafanya lini mkuu..?Baada ya interview pia, ntashare maswali humu. Ili kuwa mwangaza kwa wengine watakaofuata mbeleni.
Kesho.We yako unafanya lini mkuu..?
Oooh kumbe uko DODOMA Leo..Kesho.
Dodoma ntafika leo usiku. Natokea Dar mkuuOooh kumbe uko DODOMA Leo..
Kwann hukuwahi kutoka ili upate mda wa kujiandaa vizuri mkuu..?Dodoma ntafika leo usiku. Natokea Dar mkuu