Wrong citation ni nini?(Ni Neno la kisheria kwenye masuala ya kiushahidi)

Wrong citation ni nini?(Ni Neno la kisheria kwenye masuala ya kiushahidi)

UVIKO

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2021
Posts
294
Reaction score
362
Kwa kuwa ni mjadala mpana ndani ya mahakama kuhusiana na kesi inayomkabili FEM na wenzake. Mimi siyo mwanasheria ila naomba mtufafanulie kwa kuwa humu najua kuna wabobezi WA Sheria, asanteeni.
 
Back
Top Bottom