Wrong namba zingine wadada ndio wanazitengeneza,
Siku flani alinipigia mdada mmoja na kuanza kuniambia ashafika Dar akitokea Arusha,
Kumuuliza vizuri yeye ni nani, akadai wrong numbe hivyo nikaamua kuipotezea.
Then ye ndio akaanza kunitafuta sasa.
Kuja kuchunguza kumbe alipewaga issue na ndugu yangu mmoja hivi kua nimemtema girlfr wangu so akawa anataka ajiweke yeye kupitia mtego wa wrong number!!
huu sio ulimbukeni....
men are hunters inaeleweka hiyo
sasa wrong number inapoingia ni sawa na swala kakosea njia kaingia maeneo ya chui...lazima
huyo swala akaguliwe kuona afya yake vipi?analika?
its all about curiosity....hivi ikitokea wrong number imesababisha ukaja kutoa posa je?tutaitaje hiyo???
Sure, mke wangu nilimpata alikuwa anauza duka; nikaenda dukani asubuhi (nilikuwa simfaham yeye alikuwa ananifaham kidogo) nikanunua condomMahusiano ya watu huanza kwa namna tofauti, wrong No. ni sehemu ndogo tu ya kuanzia,
si lazima kama ilivyokaririwa na wengi kuwa sehemu pekee zinazofaa kukutana ni zile za Ibada, Harusi au chuo,
Hata thru wrong No. can be a wife/husband material!
Love starts anywhere and anyhow!
Yes, happened to my friendmie suala hilo likitokea najua kama vile my wife wangu ananitega kwa marafiki zake ili anione kama nademua nje au ni kiasi gani nitadeal na hiyo LONG NAMBA.ila lazima nimtafute kwenye line no 2 na kama analika Namla
wanaume wanadanganyika vibaya au wanawake ndio wanadanganyika vibaya?
Sure, mke wangu nilimpata alikuwa anauza duka; nikaenda dukani asubuhi (nilikuwa simfaham yeye alikuwa ananifaham kidogo) nikanunua condom
akaniuzia ila baada ya siku moja rafiki yangu wa kawaida wa kike akaja akaniambia umenitia aibu best asubuhi asubuhi unanunua condom za nini?
sikumjibu ila nilitaka kujua nani kamwambia nikambembeleza akaniambia ni yule dada aliye kuuzia;
nikaahidi kumkomoa kwa kufanya nae mapenzi baada ya kumfuatilia kwa muda wa wiki sita akanikubalia nilipoanza na nikafanya nae mapenzi lakini akanipa raha nikaanza kumpenda na mpaka sasa ni mke wangu na tuna mtoto mmoja wa kike
Yes, happened to my friend
mzee uliingia mkenge!! pole! if you want to date online or over the phone you need to not only careful but honest na mjanja na kuhakikisha you get a photo of the queen/king.weee, nakumbuka siku ambayo skype ilitaka kuniponza. tulipatana na sister moja kwenye skype, tukaendelea kuchart kwa muda. kipindi hicho niko single, nilimualika kama utani akaja. nilienda kumpokea. maajabu yakaanza hapo. nilietazamia kumuona siye kumbe avatar yake ilikua fake. kuona sura yake karibu nianguke. ilibidi nitumie mbinu za kijanja nikamsafirisha siku hiyo hiyo kwa gharama zangu. tokea hiyo siku sina matani kwenye mitandao.