sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,276
- 976
Kulikuwa na sababu gani ya kutaja hilo dhehebu
Unashangaa? Nami kweli naahangaa. Jpili jamaa yuko bize hadi wasap anachatUnampigia simu mtu hapokei halafu anatuma meseji ''nipo kanisani''...
Jamani kanisani unapataje muda wa kushika simu.. Tena katoliki takatifu la mitume!!!!
Damn it..