The beast is coward.... Last week kesnar kafanya mambo ya kiouuzi sana yule kamtuma paul akampulizie spray machoni roman resign halafu akatokea kamu attack roman resign huku akiwa haoni huoni ni kama amezidiwa.......Tuwe wakweli, hii kitu ilipangwa sababu lesnar anataka kuachana na wwe aemde ufc.
One on one Roman has no chance of defeating the beast.
Kwa siku za karibu Roman Reign amemmudu sana Brock Lesner .Tuwe wakweli, hii kitu ilipangwa sababu lesnar anataka kuachana na wwe aemde ufc.
One on one Roman has no chance of defeating the beast.
Hata mwaka jana alitumia police fake wakampiga pingu kwanza ndio akamshugulikia .The beast is coward.... Last week kesnar kafanya mambo ya kiouuzi sana yule kamtuma paul akampulizie spray machoni roman resign halafu akatokea kamu attack roman resign huku akiwa haoni huoni ni kama amezidiwa.......
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo mchezo mm anataka na show ya kuduu bas ntaacha ili niangalie 2Habari Wadau wa mieleka...bwana weee katika vitu napenda basi ni huu mchezo wa mieleka hususani wwe,hata kama mtananga uwe saa ngapi nitasubiri, game ya leo alfajiri wwe summer_slam kati ya lesnar the beast himself VS Romain Reign kwa mara nyingine tena wakikutana summer slam wakishindania universal championship belt mtananga ulikua ni moto nilichofurahi ni the big Dog romain reigns kumpa kichapo the beast nakuchukua mkanda
Sent using Jamii Forums mobile app