Wwf program accountant position

Wwf program accountant position

Nina jamaa yangu anafanya pale anasema wameomba watu 1600.Wamekuwa shortlisted watu 36 na chance zipo 6 tu.Weng wa waliokuwa shortlisted ni CPA holders ila bado hawajapgiwa simu kuja kuwa interviewed.Trust me nayokuambia syo jokes coz nina mdau pale wwf
 
poa mkuu nimekupata kwa taarifa hizo i hope wakianza kupiga simu tutajua kama imekula kwa nani ,thanks mkuu
 
Nina jamaa yangu anafanya pale anasema wameomba watu 1600.Wamekuwa shortlisted watu 36 na chance zipo 6 tu.Weng wa waliokuwa shortlisted ni CPA holders ila bado hawajapgiwa simu kuja kuwa interviewed.Trust me nayokuambia syo jokes coz nina mdau pale wwf

Ngoja turudi darasani tu!Na nimeambiwa mtaala wa CPA umebadilika,Module E tu paper 6!
 
Back
Top Bottom