www.cheaters.com

mhondo

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
968
Reaction score
354
Kuna kipindi kinaitwa cheaters uwa kinaoneshwa kwenye channel ya e.tv kuhusu watu wanaoiba/kusaliti ndoa zao au mahusiano ya kimapenzi. Wachunguzi wanafuatilia mwizi wako akiwa na mke/mme wako na kumrekodi kwenye video na kuja kukuonesha kwenye video na baadaye kukupeleka sehemu ya kukutana na mwizi wako akiwa na mwenzi wako huko U.S.A. Hivi kungekuwa na wachunguzi kama hao hapa TZ hali ingekuwaje?
 
tungezoea tu na hilo,kama yale mascandal ya kina chenge tulivyoyazowea......
 
Hata mimi nilikuwa nakiangalia muda si mrefu chanel e .
 
Bongo mtu anakataa LIVE alaaahh.

Unamuonyeesha mtu video wakati ana cheat
Ni sura yake kabisa, mbele ya kila mtu anakwambia huyo sio mimi ...
 
Bongo mtu anakataa LIVE alaaahh.

Unamuonyeesha mtu video wakati ana cheat
Ni sura yake kabisa, mbele ya kila mtu anakwambia huyo sio mimi ...

Watu wanakana hata vivuli vyao hapa Bongo na hata huko majuu ndio maana Cheaters hupendelea kumkamata mtu on the crime scene..
Cheaters imenifundisha namna mbalimbali za reaction za watu wanapofumaniwa na kufumania wengine wana-implode wengine wana-explode some are left expressionless and ofcoz do not cheat is the fundamental lesson.
 
na watch toka 1998 enzi hizo Dstv ikiwa na channels 2 mbili tu, Mnet na supersport. kwenye Mnet walikuwa na Gerry Springer Show. (Cheaters haikuwa DSTV nilikuwa na watch via DISH)
 
na watch toka 1998 enzi hizo Dstv ikiwa na channels 2 mbili tu, Mnet na supersport. kwenye Mnet walikuwa na Gerry Springer Show. (Cheaters haikuwa DSTV nilikuwa na watch via DISH)

Cheaters gani uliyokuwa unaangalia wewe? Manake hii ya sasa ilianza Novemba 1999.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…