Ma-webmaster wa site hiyo wangekuwa wanatembelea JF natumaini wangeona hii thread na kutatua hilo tatizo haraka likiwa bado changa.
Kwa sasa inavyo onekana website, huyo hacker kafanikiwa kuingiza utumbo wake kwenye database moja au mbili za hiyo site. Tahadhari ni kuwa kadiri muda unavyopita ndivyo itamuwia rahisi kuziingilia database zao zote.