Wydad AC wanataka kumsajili kocha Nasredeen Nabi kwa ajili ya msimu ujao

Wydad AC wanataka kumsajili kocha Nasredeen Nabi kwa ajili ya msimu ujao

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
1659341143322.png

Klabu ya wydad AC imejadili uwezekano wa kumteua kocha mkuu wa Yanga SC Nasreddine Nabi kuinoa timu yao katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao baada ya Walid Regragui kujiuzulu.

Pia; Jina la Pitso Mosimane limetajwa na bodi mkutano wao wa hivi majuzi.
---

Wydad AC have discussed the possibilities of appointing Yanga SC 🇹🇿 head coach Nasreddine Nabi to lead their team in the CAF Champions League next season. 🚨🇲🇦

Also; 🇿🇦 Pitso Mosimane’s name has been mentioned by the board their recent meeting.
 
Ni kocha mzuri, lakini bado anakipimo cha Champions league kuthibitisha ubora wake zaidi
 
Nafikiri bado ana mkataba na Young Africans ambao hawatamruhusu atoke
 
Basi Yanga kocha tunaye! Kutakiwa tu na timu kubwa Barani Afrika kama Wydad Casablanca, siyo jambo jepesi hata kidogo.
 
Back
Top Bottom