mchawi hela weweNafikiri bado ana mkataba na Young Africans ambao hawatamruhusu atoke
SAWAmchawi hela wewe
OKAY TUTAJUA MBIVU NA MBICHIMkataba umeisha na hajapewa mkataba mwingine lakini hiyo habari Ina uwalakini Nani hawezi kuzungumzia na timu Bali anayefanya hiyo kazi ni wakala wake
Mkataba umeisha Bado hajapewa mkatabaNafikiri bado ana mkataba na Young Africans ambao hawatamruhusu atoke
Umeshauona huo mkataba amesaini tarehe fulani hadi fulani? na kipi kinakuaminisha kuwa bado hajapewa mkataba mkuuMkataba
Mkataba umeisha Bado hajapewa mkataba
Mikataba ya makocha na wachezaji IPO wazi fatilia TFFUmeshauona huo mkataba amesaini tarehe fulani hadi fulani? na kipi kinakuaminisha kuwa bado hajapewa mkataba mkuu
Msaidie kwa kuuweka hapa.Mikataba ya makocha na wachezaji IPO wazi fatilia TFF
Nipo busy ila afatilie gazeti la mwanaspoti.juu ya Nani kutakiwa na Rabat fc wameandika mkataba wake umeisha pamoja na wasaidizi wakeMsaidie kwa kuuweka hapa.
nimeingia kwenye website ya TFF sijaonaMikataba ya makocha na wachezaji IPO wazi fatilia TFF
gazeti la lini?Nipo busy ila afatilie gazeti la mwanaspoti.juu ya Nani kutakiwa na Rabat fc wameandika mkataba wake umeisha pamoja na wasaidizi wake
Mchawi nini?mchawi hela wewe
Kama chanzo chako cha taarifa ni Gazeti inafaa ujitafakari zaidi.Nipo busy ila afatilie gazeti la mwanaspoti.juu ya Nani kutakiwa na Rabat fc wameandika mkataba wake umeisha pamoja na wasaidizi wake