mjenziwakale
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 954
- 1,469
Ahahahah unawajua waarabu wewe au umejiongelea kwa hisia, hao Lengo lao ni kumchukua na kwenda kumuweka mbao ndefu😂😂😂Ni habari njema hasa kwa Mzize. Wydad ni ticket nzuri sana kuingilia Ulaya.
Namtakia kila kheri.
Kibu D siyo mchezaji ni mwanamichezo.Sijui kwanini timu za nje hazimuoni Feisal na Kibu D. Kwa mtazamo wangu ndio wachezaji wazawa wenye viwango vikubwa kuliko wote .
Uliowataja ni wachezaji wa mihemko kusifiwa na wachambuziSijui kwanini timu za nje hazimuoni Feisal na Kibu D. Kwa mtazamo wangu ndio wachezaji wazawa wenye viwango vikubwa kuliko wote .
Nusu fainali gani tena jamani?Yanga ikifika nusu Fainali hatakaa pale.
Mzinze nenda fasta ukacheze fifa club world cup huko duniani wakuone🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌Klabu ya Wydad Athletic Club imewasiliana tena na Yanga kwa ajili ya kupata saini ya wachezaji wawili, Clement Mzize na Stephane Aziz Ki.
View attachment 3196304
Pia, Soma: Hawa ndio Wachezaji Wazawa ghali zaidi Ligi Kuu Tanzania, Vilabu vikubwa Afrika vyawatolea macho
View attachment 3196302
Kibu MAGUVU mengi ila AKILI HAMNA.Sijui kwanini timu za nje hazimuoni Feisal na Kibu D. Kwa mtazamo wangu ndio wachezaji wazawa wenye viwango vikubwa kuliko wote .
Bisha kwa hojaMmmh!! Chumvi
Kibu nguvu kibao akili kisoda, Mla ugali sukari akili imo stamina urojo.Sijui kwanini timu za nje hazimuoni Feisal na Kibu D. Kwa mtazamo wangu ndio wachezaji wazawa wenye viwango vikubwa kuliko wote .
Kijana wa Kitanzania katika harakati za kumsagia kunguni kijana mwenzake Mpambanaji wa Kitanzania.Asa duka atamuachia nani au ina maana anaenda kuacha kuwa wakala wa GSM?
Mbona mi namtaka kheri tu tena nimempigania sana humu ndani Yanga waache kumbania. Wewe unadhani Yanga wanavyokataa kumuachia ni kwa sababu ya faida yake au ya kina Hersi?Kijana wa Kitanzania katika harakati za kumsagia kunguni kijana mwenzake Mpambanaji wa Kitanzania.
Hapo unatamani sana ajitokeze tajiri aseme lile duka ni langu dogo ni winga tu..
UKITOBOA BONGO HATA SOMALIA UTATOBOA.
Leta takwimu zakeMzize ndiye mshambuliaji bora kwa sasa kwenye ukanda huu
Ukanda huu ?Mzize ndiye mshambuliaji bora kwa sasa kwenye ukanda huu
Nusu fainali gani tena jamani?
Huyo sio Mtanzania ni Mghana.Hicho kiinglishi kilichotumika ni aibu kwetu kama Taifa.
Mwandishi atafute mtu wa kumsaidia kuandika haya mambo yake kama anataka kuwasilisha taarifa zake kwa adhira ya watu wanaotumia Kiingereza.
2025/2026 sawaCL 2025
Sawa.Huyo sio Mtanzania ni Mghana.
KIBU??Sijui kwanini timu za nje hazimuoni Feisal na Kibu D. Kwa mtazamo wangu ndio wachezaji wazawa wenye viwango vikubwa kuliko wote .