Wydad Casablanca and Mamelodi LIVE

Wydad Casablanca and Mamelodi LIVE

BlackPanther

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
9,185
Reaction score
8,715
Leo kuna mechi kali sana makamanda wangu na wapenzi wa soka...CAF CHAMPIONS LEAGUE 'SEMI FINAL, ni kati ya WYDAD CASABLANCA NA MAMELODI saa 4 kamili usiku...

Kila la heri timu langu Wydad Casablanca!

Mwenye link tupia hapa tufurahie sote 😁😁😁
 
Leo kuna mechi kali sana makamanda wangu na wapenzi wa soka...CAF CHAMPIONS LEAGUE 'SEMI FINAL, ni kati ya WYDAD CASABLANCA NA MAMELODI saa 4 kamili usiku...

Kila la heri timu langu Wydad Casablanca!

Mwenye link tupia hapa tufurahie sote [emoji16][emoji16][emoji16]
Daah , si ya kukosa hii
 
Wale wahuni watoa rushwa kwa marefa eti walikuwa na ndoto ya kuchukua ndoo
 
Back
Top Bottom