BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Daah , si ya kukosa hiiLeo kuna mechi kali sana makamanda wangu na wapenzi wa soka...CAF CHAMPIONS LEAGUE 'SEMI FINAL, ni kati ya WYDAD CASABLANCA NA MAMELODI saa 4 kamili usiku...
Kila la heri timu langu Wydad Casablanca!
Mwenye link tupia hapa tufurahie sote [emoji16][emoji16][emoji16]
Daah , si ya kukosa hii
Duu kuna Liverpool leo sjui tunajigawa vp
Simba nae anacheza lini
Wachezaji wapi wameshinda njaa mkuuTuma mchango boss, wachezaji wameshinda njaa leo.