BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
- Thread starter
-
- #41
mechi ya marudiano kazi ipo,,wydad wanapiga mpira hatar ila mamelod nao si haba wametoka 2-1 ngoja tuone mechi ya pili
usifute hii comment, Mamelodi nawaaminiaRaja tena! Wydad sio simba wala al ahly...watachokipata hao makaburu hawatosahau ๐๐
Kabisa, Mamelod atamuua mwarabu pale SA mapema sana.usifute hii comment, Mamelodi nawaaminia
hii ni ya kiarabu hamna ya kithungu!Kupitia mobikora
ุชุทุจูู ู ูุจู ููุฑุฉ
ูู ุดุงูุฏุฉ ู ุจุงุฑูุงุช ุงูููู ู ุฌุงูุง ุนูู ุงููููุงุช
ุงูู ุดูุฑุฉ
Tusubiri mkuu! Huenda ukawa sahihiMamelodi atapita kwenda fainali . Tp mazembe atamtoa espirance de Tunis . Fainali ni Tp mazembe v mamelodi
Tusubiri mkuu! Huenda ukawa sahihiMamelodi atapita kwenda fainali . Tp mazembe atamtoa espirance de Tunis . Fainali ni Tp mazembe v mamelodi
If you are a tech savvy, language doesn't matter bro.Ungeandika pia kwa wanaojua lugha ya kiarabu tu
nashukuru kwa kunirekebusha, pamoja sana