Simon Msuva hachezei Wydad Casablanca, anachezea Difaa el Jadida (sina hakika kama nimeandika sawa jina la hii klabu). Lakini klabu hii pia ni ya Morocco kama ilivyo Wydad.
Una tatizo na uelewa wa lugha ya Kiswahili?"Ligi ambayo Msuva anacheza".Mkuu msome vizuri mleta uzi..mtake radhi ndugu yetu.
Una tatizo na uelewa wa lugha ya Kiswahili?"Ligi ambayo Msuva anacheza".
MkulupukoBata maji wewe, umesoma vizuri pale ukaona kaandika Msuva anachezea Wydad Casablanca?.
Klabu ya wydad Casablanca ya nchini Morocco ligi ambayo Simon Msuva anacheza
Ni namna nzuri ya kuripoti habari pia kuonyesha kuwa ligi ambayo MTZ anachezako soka ina teams ambazo ni bora afrika pia kuleta upana wa ufahamu kwa wale ambao walikuwa hawafaham.... 100% yuko sawaHuu Unazi Mwengine Ni Ulimbukeni kweeli!!!!
Kwani Ungeeleza tu bila Ya Kumtaja Msuva using Elijah anima? Au unahisi Mafanikio Ya Waydad Ndiyo ya Msufa Kwasababu Wapo ardhi Moja??
Huu Unazi Mwengine Ni Ulimbukeni kweeli!!!!
Kwani Ungeeleza tu bila Ya Kumtaja Msuva using Elijah anima? Au unahisi Mafanikio Ya Waydad Ndiyo ya Msufa Kwasababu Wapo ardhi Moja??
Dah sioni comments zikimiminika humu!!! Au kwakuwa bingwa ametokea North Africa??
hao kawaida yao.. angaliaga msimu akichukua mazembe jinsi inavyokuwa story ila timu za north africa huwa hazishtuagi watu sababu ni kawaida yao..
mwaka jana mamelodi sundown walishinda mara ya kwanza hizo kelele zake kama wametwaa world cup...
sasa usiombe hili kombe siku libebwe na yanga uone jery muro na mzee akilimali watavyoongea shombo mwaka mzima..
au siku mikia wa msimbazi walibebe ndipo utamjua why manara aliajiriwa simba.. ataongea yule miaka hata 10 itakuwa story hiyo hiyo
Mkuu samahani aise. Using ni kitu gani? Elijah ni kitu gani? Na anima ni kitu gani?
Oh God! Mkuu neno sahihi nililolikusudia Ni hili → "usingelifahamika"...
Lakini Kwavile Keyboard Yangu Ni ENGLISH (UK) kwahiyo inakuwa AutoCorrect Ndiyomana imejiandika Maneno Ya Kiingereza "Using" "Elijah" na "Anima"...
It was a spelling error Mkuu.